Jifunafu
Senior Member
- May 25, 2020
- 197
- 744
Habari za majukumu wana JamiiForums,mimi pamoja na timu yangu ya wachimbaji wadogo tuna miliki mradi (duara) uliopo katika mkoa wa Geita. Duara lina vipimo vya maabara na linatafuta mbia wa kumalizia vifaa na matimba ili kufikia uzalishaji.
Tofauti na miradi mingi inayofanyika kwa kubahatisha,mradi wetu umepitia hatua za kisayansi ambapo tayari tumeshafanya vipimo vya kimaabara (Laboratory test) na miamba imeonyesha viashiria vikubwa vya uwepo wa dhahabu ya kutosha.
Kazi ipo katika hatua nzuri sana,na kwasasa tunahitaji mwekezaji/mdhamini wa kushirikiana nae ili kuovusha kazi kwenda hatua ya uzalishaji haraka iwezekanavyo.
Mambo yanayohitajika kwa sasa.
1.Vifaa vya kazi, water pump (pump ya kuvuta maji) na mpira wenye urefu wa mita 12,kwa ajiri ya kutoaaji duarani pindi tunapoelekea msimu wa mvua kubwa.
2.Miundo mbinu,Kujenga banda salama la duara kulinda eneo la kazi na kuhifadhi vifaa vya kazi.
3.Gharama za uendeshaji,Kiasi cha shilingi milioni tatu 3,000,000/= zinahitajika kwa ajili ya ufungaji wa matimba na kuendesha kazi ya awali.
Mfumo mashirikiano (Gawio)
Tupo tayari kukaa meza moja na muwekezaji/mdhamini na kuweka makubaliano rasmi ya kisheria yanayolinda mtaji wake na kumpa faida nzuri iwe kwafumo wa hisa/ asilimia kwenye uzalishaji au kurudisha gharama kwa makubaliano maalumu ya mkataba.
Kwanini uhusike kwenye mradi huu?
-Kumbuka kazi haianzi upya,miundo mbinu ya msingi ipo na vipimo vya maabara vinatoa uhakika wa uwekezajia wako.
-Tuna timu ya uwaminifu na wachapakazi tayari eneo la tukio.
-Duara imeshafungwa matimba (box 5) za awali na usalama wa duara uko vizuri.
-Muwekezaji/mdhamini anaruhusiwa kutembelea eneo la mradi/duara ili kuona mradi ulipo na pia kuona mikataba na majibu ya vipimo vya maabara (Laboratory test)
-Mazingira ya uwekezaji ni mazuri na miundo mbinu kama barabara inafika eneo moja kwa moja eneo la tukio.
Mawasiliano. Kwa yeyote mwenye nia thabiti, nipo tayari kupokea simu au ujumbea wa Whatssap kupitia namba hii kwa niaba ya wachimbaji wenzangu 0757487672, Pia unaweza kunitumia ujumbe wa PM (Private message) jamiiforums kwa mazungumzo ya awali.
#Madini ni maisha na utajiri,tujihusishe.#