Sasa Siku ya Mwaka mpya wa Kiislam ni Siku ya mapumziko rasmi Zanzibar

Zanzibar inaenda kuwa full Islamized
Mpaka sasa ni rasmi

1. marufu kula mchana Ramadhani,

2.kwenda kuhiji Serikali inalipia,

3. Kujenga makanisa ni marufuku

4.mwaka mpya wa Kiislamu ni public holiday,

nasubiri kusikia Ijumaa na Jumamosi ndio siku za mapumziko, Jumapili watu waende kazini
Nchi yao,waache wafanye wapendavyo
 
Huu upuuzi wao uishie huko kwao Hangaya asithubutu kutuletea kwetu.
Na siku wao wakisema mwaka mpya wa kikristo ubakie kwenu musiwapelekee wao mutafurahia?
Mimi nadhani busara ni kuwa kama kulivyo na mwaka mpya wa kizungu basi na wao waachiwe washerehekee mwaka wao wa kiislamu,
Hiyo ni haki na hata wakidai mfumo wa kupumzika alhamis na ijumaa pia ni haki yao vinginevyo tuwapeni tu inchi yao
 
Kama ilivyo ada watakaopinga sana suala hili ni watu wa imani tofauti, ingawa hayawahusu lakini ni kama walivyopinga mahakama ya kadhi,
Haiwahusu lakini dah mpaka walitishia inchi kutotawalika,
Ok sea never dry, one day yes
 
Zanzibar inaenda kuwa full Islamized
Mpaka sasa ni rasmi

1. marufu kula mchana Ramadhani,

2.kwenda kuhiji Serikali inalipia,

3. Kujenga makanisa ni marufuku

4.mwaka mpya wa Kiislamu ni public holiday,

nasubiri kusikia Ijumaa na Jumamosi ndio siku za mapumziko, Jumapili watu waende kazini
Kinachofuata ni Serikali kutoa ruzuku kwa wenye mke zaidi ya mmoja.

Sisi waafrika tunafarijiana kwa mambo yasiyokuwa na tija.
 
Silazima Mufti atangaze kila mwaka. Akitangaza ni kwa kupenda tu yeye mwenyewe. Mbona Kalenda za mwaka ya Kiislamu zimezagaa wala hazikosei.
Fatilia hii:
Mwakani: 2023 AD = 1445 AH
July 20 Thursday

2024 AD = 1446 AH
July 8 Monday

2025 AD = 1447 AH
June 27 Friday

2026 AD = 1448 AH
June 17 Wednesday
SHUKRAN
 
Yaani kupumzika na kula bata ni Swala la kupongeza?Lina leta tija gani?ajira,ustawi wa jamii!?kukuwa uchumi!?
Wanotupa misaada mivitu ya kijinga kama hii,hawafsnyi! Sie ndio kwanza tumeikumbatia!!!tukiamini ndio itatufikisha ahera!!!lost race
Wewe ukipumzika unakila bats Sisi tukipata Mapumziko tunaenda kulima,kuvua,kuangalia mifugo yetu,kuangalia wagonjwa muhimu NI kwamba nisehemu ya kujiongezea kipato chetu
 
Kila Mzanzibar ni Mtanzania, lakini si kila Mtanzania ni Mzanzibar.

Kama una elimu ya MEMKWA huwezi kuelewa
Memkwa inatoka wapi tena sheikh
Ni mantiki ya kawaida tu,

kama Tanzania ni nchi inayotokana na muungano wa nchi mbili Tanganyika na Zanzibar, logically Zanzibar haiwezi kuwa nchi tena, sababu tayari ni sehemu ya chi nyingine,
 
Hatimae Rais wa Zanzibar amepitimiza ahadi yake aliyotoa HIVI karibu wakati WA hafla ya kuukaribisha mwaka mpya wa Kiislam HIJRIYYA Kwamba Serikali imo katika mchakato wakuifany Siku ya Mwaka mpya wa Kiislam kuwa siku ya mapumziko Sawa na mwaka mpya wa Miladiya


Akitangaza Leo tarehe 5/8 katika Msikiti Quba uliopo Kwa Boko mjini hapa ametangaza Rasimi kwamba Serikali imeridhia kuifanya siku hiyo kuwa na ya Mapumziko kama ulivyo Ile ya Miladia ambapo siku ya tarehe mosi ya kila mwaka NI Mapumziko

Hivyo Rasmin kila tareha 1 MUHARRAM ya kila mwaka itakua ni siku ya Mapumziko


HONGERA DR MWINYI
HONGERA OFISI YA MUFTI
HONGERA WAZANZIBARI
Nimeamini Dr Mwinyi kisha kosa ushawishi wa kisiasa.
Mwalimu aliwahi kusema mtu anayeingiza dini,ukabila na mambo ya aina hiy AMEFILISIKA kisiasa.
 
Mambo ya kijinga kabisa haya. Badala waongeze siku za kufanya kazi wanazipunguza. Hata kwa madawa na chakula tu hawajitoshelezi halafu bado wanataka wale bata.
Bara mtafanya badala yao. Kanikumbusha baba yake si ndio aliepumzisha watu jumamosi iwe mapumziko, nadhani kiserikali bado ipo hivyo.
 
Bara mtafanya badala yao. Kanikumbusha baba yake si ndio aliepumzisha watu jumamosi iwe mapumziko, nadhani kiserikali bado ipo hivyo.
Si kweli alichofanga Baba yake nikulipiza Mapumziko mfano yakiangukia mwisho WA wiki basi mnalipwa Mapumziko yenu siku ya KAZI( Jumatatu)
 
Back
Top Bottom