Sasa Rasmi Escrow yataka kuchakachuliwa

Sasa Rasmi Escrow yataka kuchakachuliwa

nzobhe

Member
Joined
Dec 8, 2013
Posts
51
Reaction score
58
Jana viongozi wa CCM waliwaita baadhi ya wajumbe wa kamati ya PAC kuwashawishi na kuwaomba kuwa wasisitize ripoti hiyo isiingie bungeni.

Waliokuwapo ktk kamati hiyo ni Maswi,Muhongo,naibu katibu mkuu Mangula.

More to come...
 
kama style ya mahakama imeonekana mahakama itapoteza hamna style nyingine wanajilisha upepo
 
This saga is going to demonstrate how matured Tanzanians are afternoon the next general elections. Kama tunacheza au la
 
Haiwezekani huu ni mpango wa kuwatoa viongozi kafara na mwigulu amesema wote wakamatwe wafilisiwe na kufungwa wafungwe,chezea mwigulu wewe.haponi mtu hapo
 
Hizi ni Habari za Uzushi na Uzandiki....
 
Wanatapatapa kijinga hivyo!Kweli nimeamini ccm ni mataahira.
 
Jana viongoz wa ccm waliwaita baadhi ya wajumbe wa kamati ya PAC kuwashawishi na kuwaomba kuwa wasisitize ripoti hiyo isiingie bungeni.
Waliokuwapo ktk kamati hiyo ni Maswi,Muhongo,naibu katibu mkuu Mangula.....more to come
#MANG 'ULA naye anajiingiza ktk UOZO na UCHAFU na UHUNI HUU! TOBA ~I~ LLAH!/
 
Jana viongoz wa ccm waliwaita baadhi ya wajumbe wa kamati ya PAC kuwashawishi na kuwaomba kuwa wasisitize ripoti hiyo isiingie bungeni.
Waliokuwapo ktk kamati hiyo ni Maswi,Muhongo,naibu katibu mkuu Mangula.....more to come

Umekurupuka usingizini nini?
Kama kwa kisingizio cha mahakama walishindwa, kwa sababu ipi ambayo unadhani wataweza tena?
 
Jana viongoz wa ccm waliwaita baadhi ya wajumbe wa kamati ya PAC kuwashawishi na kuwaomba kuwa wasisitize ripoti hiyo isiingie bungeni.
Waliokuwapo ktk kamati hiyo ni Maswi,Muhongo,naibu katibu mkuu Mangula.....more to come

Msipende kuchafua majina ya watu bila sababu. Mangula kama alivyo kinana, kwenye hili lazima watajitahidi kucheza mbali nalo maana nguvu yake mbaya. Litawaliza wengi
 
Jana viongoz wa ccm waliwaita baadhi ya wajumbe wa kamati ya PAC kuwashawishi na kuwaomba kuwa wasisitize ripoti hiyo isiingie bungeni.
Waliokuwapo ktk kamati hiyo ni Maswi,Muhongo,naibu katibu mkuu Mangula.....more to come
hao viongozi wa ccm wametumwa na nani kama nao sio mafisadi. wakome..wala hawakitakia chama heri. vijana nchemba zambi fanyeni mapimduzi. taifisheni iptl kamateni wezi na kuwanyang'anya mali waliyoiba yote. funga jela majizi wote. tifueni mzizi.
 
Jana viongoz wa ccm waliwaita baadhi ya wajumbe wa kamati ya PAC kuwashawishi na kuwaomba kuwa wasisitize ripoti hiyo isiingie bungeni.
Waliokuwapo ktk kamati hiyo ni Maswi,Muhongo,naibu katibu mkuu Mangula.....more to come
Mangula yupo dar unazungumzia mangula yupi.
 
Haiwezekani huu ni mpango wa kuwatoa viongozi kafara na mwigulu amesema wote wakamatwe wafilisiwe na kufungwa wafungwe,chezea mwigulu wewe.haponi mtu hapo

Wazo lake likifanikiwa,nachukua kadi ya ccm na nampigia kura awe Rais.
 
Watanzania shime shime tuungane mpaka kieleweke, hapa ni hadi tumkamate mwizi;
 
Jana viongozi wa CCM waliwaita baadhi ya wajumbe wa kamati ya PAC kuwashawishi na kuwaomba kuwa wasisitize ripoti hiyo isiingie bungeni.

Waliokuwapo ktk kamati hiyo ni Maswi,Muhongo,naibu katibu mkuu Mangula.

More to come...
Moderator, tafadhali rekebisha lugha ya uzi huu.

Haiwezekani kitu au mtu "kikataka" kuchakachuliwa. Alichopaswa kuandika ni "Sasa IPTL kuchakachuliwa, imedhihirika".

Tuache kuharibu lugha yetu hii adhimu, Kiswahili. Tumeharibu mengi LAKINI tusiharibu Kiswahili.

Nawasilisha hoja.
 
Last edited by a moderator:
Yaani hapo si rahisi , kabisaa. Ni sawa na mwizi umemkuta ndani mwako na wewe ukamfungia mlango kwa nje, zaidi ni kuweweseka tu. CCM tumewafungia mlango kwa nje.
 
Back
Top Bottom