Sasa nimeelewa hoja/shida ya wana-UKAWA

Sasa nimeelewa hoja/shida ya wana-UKAWA

Good observation.Na ndio maana hata majibu yao huku ndani ni ya ovyo ovyo..wanabaki kusema umamaliza? ...dawa inaingia... stupid comments. Hawako tayari kwa mjadala wowote...yaana hata ukiongea nao ukiwauliza watashindaje uchaguzi hawana mbinu wanabaki oooh suburi asubuhi. IT IS SUCH A DISGRACE TO BE AN UKAWA SUPPORTER.

Good comment on original post. In addition have the following issues been considered?
1) what changes are being professed by the opposition parties. I hope it is not the removal of ruling party!
2) what do the coalition parties' constitutions say about high leadership positions' qualifications?
3) if the opposition parties do not win the election, what happens to newly recruited party members of high profile?
 
Mfumo uliopo uko vipi hebu tujadili. Na je umeletwa na chama au watu walioko katika kikundi fulani?
Hebu twende sawa ..

Mfumo uliopo ni ule uliopigiwa kelele na vyama vya upinzani hadi kupelekea mchakato wa kutunga Katiba mpya. Mchakato wa kutunga Katiba mpya ukazaa UKAWA. wahusika wakuu wa kupitisha rasmu ya Katiba na kupata Katiba Pendekezwa ndo wanajipenyeza kwenye UKAWA. Ni kitendawili
 
Mfumo uliopo ni ule uliopigiwa kelele na vyama vya upinzani hadi kupelekea mchakato wa kutunga Katiba mpya. Mchakato wa kutunga Katiba mpya ukazaa UKAWA. wahusika wakuu wa kupitisha rasmu ya Katiba na kupata Katiba Pendekezwa ndo wanajipenyeza kwenye UKAWA. Ni kitendawili

Basi we have been sold down the river .. kama watumwa waliouzwa kutoka bwana mmoja kwenda kwa mwingine
Hakuna kitu hapa
 
Barbarosa, kimsingi huo ndio ukweli weneywe kwamba sio tu ukawa ila wananchi wengi wamechoshwa na mfumo uliopo na wanachokihitaji kwa sasa ni kuona unaondolewa madarakani.

Nani alitegemea ukawa ingedumu hadi leo, nani alitegemea ukawa ingeendelea kua hai baada ya viongozi wa vyama viwili vinavyounda umoja huo kusua sua na wengine kujiuzulu ntazifa zao? Nani alitegemea baadhi ya vingozi na watu maarufu wangejiunga na ukawa na kusababisha hofu kwenye mfumo uliopo madarakani?

Uko sahihi kabisa kwamba wanachokitaka watu sasa hivi ni kuondoa mfumo uliopo kwanza.

mfumo huundwa na watu, sasa tunajua ccm haina mfumo kandamiz bali ni viongoz wa ccm ndo wametengeneza mfumo wao na wakaukubali umetunyonya halaf wahusika baada ya kuona hawawez kuulinda zaid wanajivka uzalendo fek na kwenda kwa makamanda wa vta dhd ya mfumo mbovu...Eti kwakuwa tu tnataka mabadilko tunawakubal wahamiaj viongoz! wapokelewe wanachama sio hawa ambao wameshatfanya vbaya
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli wtz wengi wemeichoka ccm lakin haina maana watpiga kura kuindoa madarakani ccm bira sera zenye tija,,,, mwamko watz ni kumchagua mtu na c chama kama tunavozani,, anaglia kwenye chaguzi srkal za mitaa kila CDM walpoweka mgombea mzur walishda na CCM vle vle....
Wakati ccm wameznduka kuona hawapendwi kama chama na kujitahid kila mgombea kusimamisha mtu anaekubalika,cdm wanatumia kelele za madeleva bodaboda na vijana wa mtaan wenye hurka ya nkupiga kelele na kuuza sura kwenye TV kama kipmo cha kukubalka kwako....
Wake up cdm... Kwa design hii CCM miaka mia
 
Barbarosa, Kama ulikuwepo!Unataka wajadili nn wakati Nchi ipo kwenye ombwe kubwa LA umaskini.Miaka 53 wamekuwa wanavumilia lakini kila uchao unasema afadhari ya Jana.Miaka 53 ya Uhuru wanafunzi wanakalia vipande vya matofali darasani,madawa hakuna hospitalini huku kodi zao zikiitwa hela ya mboga baada ya kupigwa juu kwa juu.Endeleeni kuwadanganya wale ambao baada ya kuwaibia mnadai hiyo hela haiwahusu Kama vile mmeiokota.Sasa Hivi tunawaambia ccm kuchele.Mnalo mwaka huu.Fanyeni utafiti hata vjjn sasa wameshawafahamu hakuna mjadala tena.Tukutane kwenye box la kura Oct.25.
 
Good observation.Na ndio maana hata majibu yao huku ndani ni ya ovyo ovyo..wanabaki kusema umamaliza? ...dawa inaingia... stupid comments. Hawako tayari kwa mjadala wowote...yaana hata ukiongea nao ukiwauliza watashindaje uchaguzi hawana mbinu wanabaki oooh suburi asubuhi. IT IS SUCH A DISGRACE TO BE AN UKAWA SUPPORTER.

1. Sio ovyo ovyo, unatoka mkoa wa ziwa magharibi nini? Andika hovyo hovyo
2. Not stupid bana, acha hasira uncle, hasira hasara, si unaona wewe sasa ndio unatukana?
3. Sina uhakika kama UKAWA wanakujua au lah, sembuse kukuhitaji
pole lakini, punguza ''stress''
 
tuanze kujibu hili kwanza. nini maana ya chama?

Mkuu nimeskia mahala kwamba eti CCM kiliwahi kuwa chama chawakulima nawafanyakazi?! Mi nimembishia jamaa hadi akanibeza eti kwa umri wangu kuwamdogo CCM hiyo siwezi kuijua. Hivi nikweli?
 
Back
Top Bottom