mawazombadala
Member
- Jun 26, 2015
- 58
- 6
umemaliza?
sijaona nn alichoandika.
pengne hajui maana ya 'upinzani wa kisiasa'
umemaliza?
Mimi sio ukawa supporter ila siitaki CCM!
Kwa hiyo ni nini kinafwata hilo siyo muhimu? ila cha muhimu tu (kwa mujibu wa Lowasa/UKAWA) CCM iondoke kama nimekuelewa vizuri ndivyo ulivyomaanisha?
Mimi sio ukawa supporter ila siitaki CCM!
Ukawa ukitoa cdm naweza wapa support,
lowasa si chaguo langu, lkn naamin ukawa!!
Mkubwa hiyo sio tu kwa mujibu wa Lowasa, hiyo ni shauku ya watu wengi! Chochote kinachofuata kitawezekana tu baada ya kuutoa mfumo uliopo sasa, ni suala la vipaumbele tu na mkakati kwamba kwa sasa cha muhimu na cha kwanza ni kuondoa kwanza mfumo uliopo.
Ukawa ukitoa cdm naweza wapa support
Sasa Je kama muhimu ni kuondoa CCM tu, Na tuseme Lowasa akawa raisi wa JMT halafu ghafla akageuka kuwa Museveni (raisi wa Uganda) akafuta Upinzani na kuweka Udikteta kwa kufuta vyama vingi, akatumia Katiba iliyopo inayompa madaraka makubwa na kujimillikisha gesi na rasilimali zote yeye na wenzake tunawezaje kuirudisha tena nchi yetu ktk kwake?
Nasema hivi kwa maana mpaka sasa hivi hakuna chochote kinachoonyesha ni nini Lowasa anasimamia, ni ipi itikadi ya Lowasa/UKAWA hivyo ni kama kamari kuna kupata na kukosa ndivyo unavyotaka kusema?
Lakini kama ni hivyo huwezi kucheza kamari na Nchi hapa tunaongelea Nchi na siyo Kampuni au familia bali ni nchi yenye Watu milioni 45 sasa kutaka tu kubalisha Uongozi kwa kutegemea kamari kwangu mimi ni hiyo haitoshi!
mabadiliko kwanza, chuya, makapi yatatolewa baadae
..Mabadiliko ni wewe mwenyewe..
baada ya kupata shida sana kwa muda sasa kuwaelewa wafuasi wa ukawa/lowasa mwishowe nimekuja kuwaelewa ni kwamba wao wanachokitaka chama cha mapinduzi kiondoke madarakani na kinaondokaje na nani anakuja baada ya ccm kuondoka hilo kwao siyo muhimu ila cha muhimu tu ccm iondoke!
Kitu kilichokuwa kinanipa shida kuelewa ni kwamba ni kwanini maswali magumu hawataki kuyajibu? Maswali kama je, kama ccm ndiyo mbaya iweje tena muwe tayari kuwaamini watu wale wale waliokuwa ccm na wengine bado wapo wajibadilishe jina nakujiita ukawa badala ya ccm halafu mseme mnataka kuindoa ccm madarakani hamuoni kwamba mtakuwa mmefanya kazi bure?
Jibu la hili swali ni kwamba tutajua mbele kwa mbele cha muhimu ccm iondoke!
Sasa baada ya majibu kama haya basi nimeamua kuwaelewa na kutambua kwamba wana ukawa wana intelejensia ndogo na hamna kitu mtu utafanya kuwashawishi vinginevyo kwa maana hata hawako tayari kwa majadiliano yenye maswali mgumu!
Kwao haijalishi nani anakuja lkn cha muhimu ccm iondoke!
Ukawa ukitoa cdm naweza wapa support,