Sasa ni zamu ya Dully Sykes baada ya Prof Jay

Sasa ni zamu ya Dully Sykes baada ya Prof Jay

Mkuu hapo kwenye dhahabu ile kolabo ya watu wa tatu, Dully, Mr. Blue na Joseline mtambo nani aliua sana? Mimi mpaka leo sijapata jibu kamili ingawa Dully alijaribu kufunika verse ya mwisho kwa kuweka ubet wa nne ili asisahaulike kwenye nyimbo yake...
Josline aliua sana flows zilinasa beat, Blue alitajataja tu majina, Dully aliweka vionjo vitamu sana
 
Huwezi kuamini kwa jinsi alivyozipanga, kala mkorogo unaweza kujua ni mmanga!

Jimama kote anacheza, hadi sodoma. Japo kanimeza lakini mchezo anauweza.

Na sijui wapi mchezo huu aliupokeza. Sababu macho anafumba na kiuno anakilegeza.
–Dully

🔥🔥🔥​
Semenimeni,semenimeni mpaka morning,
Nya.mbizi haniachi,hasikii Wala haoni.
Nami sitoweza kumuacha,usiku huo ilikua bila zana.Ngoma dry ajali kazini mpaka kinakucha,Wwaaah!
 
Huwezi kuamini kwa jinsi alivyozipanga, kala mkorogo unaweza kujua ni mmanga!

Jimama kote anacheza, hadi sodoma. Japo kanimeza lakini mchezo anauweza.

Na sijui wapi mchezo huu aliupokeza. Sababu macho anafumba na kiuno anakilegeza.
–Dully

[emoji91][emoji91][emoji91]​
Yaan na usodoma aliuimba humo? Kumbe umeanzia mbalii eeeh?
Duuh
 
U
Dully Sykes playlist🔥🔥
Julieta
Salome
Tamika
Nyambizi
Miss Tz uk
Kupenda
Leah
Ladies Free
Historia ya kweli
Hi
Hajisadi
Dhahabu
Bijou
Watasimuliwa
Utamu
Hunifahamu
Umesahau kuna
Bongo fleva
Handsome
Aisha mapromise
Baby candy
 
Mkuu hapo kwenye dhahabu ile kolabo ya watu wa tatu, Dully, Mr. Blue na Joseline mtambo nani aliua sana? Mimi mpaka leo sijapata jibu kamili ingawa Dully alijaribu kufunika verse ya mwisho kwa kuweka ubet wa nne ili asisahaulike kwenye nyimbo yake...
Jose Mtambo na Joseline ni watu wawili tofauti.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom