Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,510
- 28,530
- Thread starter
- #21
Josline aliua sana flows zilinasa beat, Blue alitajataja tu majina, Dully aliweka vionjo vitamu sanaMkuu hapo kwenye dhahabu ile kolabo ya watu wa tatu, Dully, Mr. Blue na Joseline mtambo nani aliua sana? Mimi mpaka leo sijapata jibu kamili ingawa Dully alijaribu kufunika verse ya mwisho kwa kuweka ubet wa nne ili asisahaulike kwenye nyimbo yake...