dully sykes

Dully Sykes (born Abdul Sykes on 4 December 1980) is a Tanzanian Bongo Flava musician, songwriter, record producer and composer.

View More On Wikipedia.org
  1. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Dully Sykes alipotaja jina la Makonda naye akazomewa

    Tukio hilo limetokea kwenye usiku wa tamasha la Miaka 30 ya Bongo Flava lilifanyika Mlimani City, Jijini Dar es salaam.
  2. X

    JamiiForums Tanzania Sasa ni zamu ya Dully Sykes baada ya Prof Jay

    Week end hii ilikuwa poa sana moja ya siku ambayo mashabiki wa Hip Hop Tanzania tuliisubiria sana Jongwe na wasanii wengine walikuwepo kwenye usiku wa Prof Jay kutambua mchango wake katika game ya rap nchini. Huu ni ukweli usiopingika Jay alistahili though kwa kuchelewa lakini si haba Tukirudi...
  3. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Wanamuita Brazameni, Mista Misifa,Mtoto wa kariakoo, Dully, Dully Sykes, Braza Dully ni King wa Bongo Fleva

    Mitaa imeshkuta sio sauti tu kibunda nacho kipo. Sio Abdul Nondo wa ACT, hapana, wanaweza wakawa wanajuana, ila sio huyo, ni Dully mwenyewe. Another "UZI MFUPI ILA UNAWAFIKIA"
  4. Superbug

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kumuona Dully Sykes akihudhuria mikutano ya CCM

    Niseme ukweli katika wasanii ninaowaheshimu wa bongo flavor Dully Sykes anashika nafasi za juu pamoja na Jongwe na Jize. Hivi mmeshawahi kumuona Dully Sykes akiimba kwenye majukwaa ya CCM kama chawa wengine wafanyavyo?
  5. Superbug

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kumuona Dully Sykes kwenye matamasha ya CCM

    Nakiri namkubali sana Dully Sykes Hana makuu na pia ni kwasababu sijawahi kumuona kwenye matamasha ya kichawa.
  6. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Nimeshtuka sana baada ya kugundua wimbo wa Hunifahamu wa Dully Sykes umetimiza miaka 20, kweli nimezeeka sasa

    Nilikuwa youtube hapa nasikiliza ngoma mbalimbali zilizopendwa. Ukaingia wimbo wa Hunifahamu ulioimbwa na Dully Sykes, mwishoni Dully anataja mwaka 2005 ambao ametoa wimbo huo . Nikashtuka leo ni mwaka 2005 takribani miaka 20 imetimia, hakika sasa mimi ni mzee. Yuko wapi aliyesema uzee...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Dully Sykes amuwashia moto kati kati ya kipindi mtangazaji wa Clouds FM, Soudy Brown kisa Chidi Benz

    Wakuu Gwiji wa Bongo Fleva, Dully Sykes amuwashia moto kati kati ya kipindi mtangazaji wa Clouds FM, Soudy Brown kisa Chidi Benz
  8. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Kimara Temboni Mbaliii... Ilala na Nyumba Kali

    https://youtu.be/vOANYMxL3uE?si=pmkUckiKzMBay6eh
  9. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania BBC wachakachua uzi wa mwana JamiiForums

    Amani iwe kwenu wakuu Kuna member wa JamiiForum aitwaye screpa alileta uzi kumhusu msanii dully skys naona leo BBC wamepita nao kiaina Soma pia: Kwanini Dully Sykes anasema yeye ndiye Mwanzilishi wa Bongofleva?
Back
Top Bottom