Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,079
- 4,511
Hivi Karibuni Mzee Mangula amewashangaa viongozi wa Serikali wanaojadili kuhusu Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo, Bila shaka hata Samia ni mmoja ya hao viongozi.
Nina hakika kabisa kama Kutakuwa na majadiliano yenye manufaa ya nchi, Mradi wa Bagamoyo hauwezi kuanza hata Hadi 2025, otherwise wakubali leo kesho waanze Ujenzi.
Wote tunajua Samia hakutarajia kuwa Rais hivyo Hana lengo lolote kubwa kwa nchi, yeye Yuko tayari Kufanya lolote asiloweza kuvumilia kelele zake.
Kwa maslahi mapana na ustawi wa nchi Wazee wa CCM na Wakuu wa vyombo vya Dola, mshaurini Samia asijipe matumani ya Urais 2025.
Nawakumbusha anayeweza kumtoa Rais wa Sasa wa Tanzania na Afrika kusini ni CC ya vyama Tawala na Jeshi