mzurimie
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 6,143
- 3,626
Kama unataka amani mwambie muhindi huyo muhesabie siku ambazo dume lako hakuwepo, na mkumbushe aliporudi ilikuwa ngumi na ndio ukalala nae.
Sasa hapo akikuelewa mwambia akuondoe hapo nchini, wahindi wengi wanajua ya nje ya nchi. Atakupeleka nchi moja ukaishi uzae ulelee mwanao na huyo askari hata kusumbua.
Tena mwambie ndio na yeye haitajulikana hata kwa baba yake na mkewe maana ni aibu na walimwaminia kukuweka kwake.
Ila na wewe ukome tamaa za waume wa watu, utazani weye ndio bikira peke yako. Hapo kumtenda mke wa muhindi ni tamaa yako na ndio imekuponza. Inaelekea hautabadilika ila omba Mungu akuondolee ugonjwa wa kupenda hilo mguu la tatu.