Kumbe na ww yalikukuta shoga???
No mamito...nina ishu yangu binafsi na huyu bibie ndo nlikuwa namkumbushia kama faili langu bado liko mezani kwake
maana hiloo li mama lijitu zimaa ovyooo limeona halina soko umu likaamua kuchafulia watuuu
Nitaupitia huo uzi nikitoka Parokiani.
lara 1 acha maneno yako ya shombo na ya Kiswahili la sivyo siku ya leo nitai-Dedicate kwako.
Hahaaaa we ndio huyo mama mtu mzima nini maana nasikia ana id mia isije ukawa umekuja kivingine
Ha ha ha ha ha ha!
Ninamsubiri na hiyo saa tano yake.
Kwahiyo wewe una "soko" ndo maana ukatiwa mimba?
Kwahiyo wewe una "soko" ndo maana ukatiwa mimba?
Af mi nashangaa....hivi mwanamke mwenye k na uterus kuwa na mimba ni habari ya kuuzia gazeti? Mbona mi sioni kama ni habari hiyo?
Bora umenisaidia mpenzi maana kwa nijuavyo sifa ya mwanamke kubwa ni mimba na ndio maana na lenyewe likazaliwaa
Hahaaaa kama hiyo ni sifa mbona mmempanikia mama mtu mzima......
Halafu si yuko bed rest ataweza kuja kweli leo
Wala hatuja mpanikia tatizo limbea lile kahabaaaa kani pm kunichochea tena kitu alichoniulza kwa pm ni tofaut kumjibu tu kumbe kaenda ku pm watu na kuwaambia et kaongea na mm nmekubar mimba ya zinc et akani pima akakuta na mimba kwel ...... nna mtoto na sina mbele wala nyuma....walah leo atasema mbele yangu ipoje na nyuma yangu imekaaje
Hahaaaaa eti ulimfata kuomba ushauri naye bila hiyana akakupa ushauri, mshauri akaamua kukupima kabisa kumbe unayo imenasiamo lo
Alikupima kwa kutumia kipimo gani vile....
Noooo! NINA SILAHA ZA KIVITA TOKA KWA BI PAZI CHOTARA WA KIMAKONDE NA KIZARAMO! YAANI SILAHA ZA KINUCLEAR NEVER SEEN BEFORE! Atajutraaaaaa kunifahamu!
Afu mnaojifanya baba ushauri kesho msitie miguu kwenue ule uzi maana nannyie nitawafanya vibayaaaa mpaka mtashangaaa! UMBEA TUUU, MNACHOSHAURI NINI WAKATI KILA UJINGA UKIWEKWA MNASOMAAA NA KU COMMENT? Mngekuwa na maana si mngepotezea? Yaani kesho mkae mbali!
ACHENI TUJICHORESHE KINACHO WAWASHA NINI, WAKANYENI WAKE ZENU TANGIA LINI TUKAWAHUSU! Yaani kesho mtu alete fyoko fyoko mmmmmmmh!
Hahaaaaa eti ulimfata kuomba ushauri naye bila hiyana akakupa ushauri, mshauri akaamua kukupima kabisa kumbe unayo imenasiamo lo
Alikupima kwa kutumia kipimo gani vile....