Sasa ndio Magufuli anaeleweka taratibu

Sasa ndio Magufuli anaeleweka taratibu

Kosoa kwa hoja bila kubeza utu wa mtu. Kila kiongozi anapokuwa madarakani ni mbaya kwa nyie wanaharakati. Magu mlimsema mpaka akafa. Nyerere mwenyewe pamoja na watu kuwa wajinga ilimbidi ang'atuke maana ujamaa ulishindwa. Kipindi cha magu mlikuwa mnamiss na kumsifu Kikwete. Who knows what will happen after rais Samia?!.
Mkapa mpaka akawa anaitwa mzeecwa ukapa nk.

Uhuru wa kutoa maoni unatumiwa vibaya Africa. Hoja nzuri zinaharibiwa na jazba, mihemko, chuki na matusi.
 
Hata zile kelele za anaupiga mwingi zimekoma, umebaki ni wimbo mmoja wa maumivu, 2025 uchaguzi ukiwa huru na haki "bi kidude" hata akigombea na andazi kwa hakika kabisa andazi litashinda
 
Uko sahihi kabisa, una lingine kwa msaada zaidi?
Usitegemee mtu hata siku moja wanasiasa sio watu wakuwaamini amini akili yako sio ya kushikiwa hao hao unaowaamini mliaminishwa Lowasa ni fisadi kwa muda wa miaka 8 na wakasema wana ushahidi wake lakini chakushangaza Ndio akawa mgombea wao wa Uraisi kwa ukigeugeu wa namna hii unaamini hata hivyo wanavyohubiri vinatoka moyoni?
 
Jitahidi kutenganisha siasa na mwanasiasa. Ukishajua tofauti uje tuendelee na mjadala.
 
"Siku moja mtanikumbuka, najua mtanikumbuka kwa mazuri si kwa mabaya, kwa sababu nime 'SACRIFICE' MAISHA YANGU kwa ajili ya Watanzania maskini" ~ Hayati. John Magufuli (RIP).

Ingawa najua kuna lile kundi lililojaa sumu, kwa machungu ya kukaa vijiweni baada ya kukumbwa na "Panga" la JPM kwenye vyeti fake, ajira hewa, utumbuzi majipu, uchaguzi 2020.

Mtaendelea kutukana .... ila "UKWELI" Utaendelea kusimama mahala pake bila kutetereka. Na Kwa mgao huu wa kulazimishwa. Hayo maneno yanazidi kusikika masikioni mwa wengi. Na yataendelea kusikika zaidi kadri siku zinavyozidi kusonga mbele taratibu.

Wao wanalamba "ASALI" wananchi tunalambishwa "SHUBIRI". Sasa Mabwawa ya hydroelectric yanafunguliwa kwa kuhujumiwa kama zamani, Ili tu walioko kwenye mfumo waendelee kuleta utitiri wa miradi ya umeme kwa 10%.

Ili tu waendelee kupata 10% kwenye makampuni yanayouza majenereta makubwa kwenye taasisi kama mabenki na viwanda.

Ili tu waendelee kupata 10% kwenye upatu wa mradi wa gesi ya LNG-Mtwara unaonadiwa kimataifa.

Ili tu waendelee kupata 10% kwenye uwekezaji mpya nishati ya upepo na Solar.

Ili tu waendelee kuneemeka na 10% ya uuzaji Mafuta kwenye majenereta ya IPTL mpya. Tunawaona na Tunawapimia.

Alamsiki!

Soma: Wosia wa Hayati Magufuli ”Mtanikumbuka” Unatimia
fb_img_1666597826291_remastered-jpg.2397812
Labdaunamurlew wee na akina makonda tusisitinamchukuliakama sheitwa na muuaji tu
 
This post is full of false dichotomies and non sequiturs.

Which is typical of many semi literate or deliberate partisan Tanzanians.

Magufuli was a country bumkin.

And now he is a dead country bumpkin.
 
Jitahidi kutenganisha siasa na mwanasiasa. Ukishajua tofauti uje tuendelee na mjadala.
Wewe Ndio ujui kutenganisha mwanasiasa na siasa wakati Lowasa anatumiwa na ufisadi si Chama kilimweka kwenye list of shame haikuishia kwa viongozi pekee
 
Fanyia kwanza tatizo la koma na nukta, kisha uje tuendelee na mjadala.
 
Back
Top Bottom