Sasa ndio Magufuli anaeleweka taratibu

Sasa ndio Magufuli anaeleweka taratibu

Kuna vizee vimeshastaafu vimeshakula maisha tani yao na watoto wao wako kwenye system lakini bado vinashiriki kwenye upigaji wenye kuumiza wananchi maskini,, vinanikera sana vizee hivi,, roho mbaya kama nini na wakati vimekaribia kufa
Kuna madai kuwa katika hao wazee kuna mmoja ana uwezo wa kuiuliza benki fulani salio na kumpigia simu mhusika apeleke fedha taslimu mahala.

Hiyo ni moja ya sababu kubwa zinowafanya wafanyabiashara wawe na nguvu sana hata ya kupanga bei ya mafuta.

Hii nchi kitambo kabla ya hayati JPM kuja tayari ilibariki uwepo wa taifa dogo linojulikana kama Jamhuri ya Wapigaji.

Ni taifa dogo lilozaliwa kwa madhumuni ya kuwahifadhi wapigaji.

Taifa hilo lina kiongozi wake, serikali yake na hata majeshi ni sehemu yake.

Hivyo ni vigumu sana kwa kiongozi yoyote ataekuwa raisi kufanya chochote kwa manufaa ya taifa la Tanzania bila kwanza kuishughulikia Jamhuri ya Wapigaji.

Raisi huyo ni lazima awe na nguvu kuwakaribia maraisi Putin na Xi.
 
Hii nchi kitambo kabla ya hayati JPM kuja tayari ilibariki uwepo wa taifa dogo linojulikana kama Jamhuri ya Wapigaji.

Ni taifa dogo lilozaliwa kwa machining ya kuwahifadhi wapigaji.

Taifa hilo lina kiongozi wake, serikali yake na hata majeshi ni sehemu yake.

Hivyo ni vigumu sana kwa kiongozi yoyote atarkuwa raisi kufanya chochote kwa manufaa ya taifa la Tanzania bila kwanza kuishughulikia Jamhuri ya Wapigaji.

Raisi huyo ni lazima awe na nguvu kuwakaribia maraisi Putin na Xi.
Nimeielewa sana hoja yako
 
"Siku moja mtanikumbuka, najua mtanikumbuka kwa mazuri si kwa mabaya, kwa sababu nime 'SACRIFICE' MAISHA YANGU kwa ajili ya Watanzania maskini" ~ Hayati. John Magufuli (RIP).

Ingawa najua kuna lile kundi lililojaa sumu, kwa machungu ya kukaa vijiweni baada ya kukumbwa na "Panga" la JPM kwenye vyeti fake, ajira hewa, utumbuzi majipu, uchaguzi 2020.

Mtaendelea kutukana .... ila "UKWELI" Utaendelea kusimama mahala pake bila kutetereka. Na Kwa mgao huu wa kulazimishwa. Hayo maneno yanazidi kusikika masikioni mwa wengi. Na yataendelea kusikika zaidi kadri siku zinavyozidi kusonga mbele taratibu.

Wao wanalamba "ASALI" wananchi tunalambishwa "SHUBIRI". Sasa Mabwawa ya hydroelectric yanafunguliwa kwa kuhujumiwa kama zamani, Ili tu walioko kwenye mfumo waendelee kuleta utitiri wa miradi ya umeme kwa 10%.

Ili tu waendelee kupata 10% kwenye makampuni yanayouza majenereta makubwa kwenye taasisi kama mabenki na viwanda.

Ili tu waendelee kupata 10% kwenye upatu wa mradi wa gesi ya LNG-Mtwara unaonadiwa kimataifa.

Ili tu waendelee kupata 10% kwenye uwekezaji mpya nishati ya upepo na Solar.

Ili tu waendelee kuneemeka na 10% ya uuzaji Mafuta kwenye majenereta ya IPTL mpya. Tunawaona na Tunawapimia.

Alamsiki!

Soma: Wosia wa Hayati Magufuli ”Mtanikumbuka” Unatimia
fb_img_1666597826291_remastered-jpg.2397812
Kamfufue uzikwe wewe . Usitukumbushe huyu shetani
 
Magu alisimamia Mstari na hakuangalia urafiki.
Alijikusanyia Maadui wengi sababu nchi hii imejaa wezi na kila aina ya maovu.
Ukichanganya na vyeti fake,mishahara hewa pamoja na deal za Msoga....
Lazima angeonekana mbaya!
Mungu ameamua kutupa ufunuo tukiwa bado hai.
Kusimamia mstari ni pamoja na kufuata sheria. Sasa unasimamia mstari halafu utashi wako binafsi ndio unageuka sheria?!
 
"Siku moja mtanikumbuka, najua mtanikumbuka kwa mazuri si kwa mabaya, kwa sababu nime 'SACRIFICE' MAISHA YANGU kwa ajili ya Watanzania maskini" ~ Hayati. John Magufuli (RIP).

Ingawa najua kuna lile kundi lililojaa sumu, kwa machungu ya kukaa vijiweni baada ya kukumbwa na "Panga" la JPM kwenye vyeti fake, ajira hewa, utumbuzi majipu, uchaguzi 2020.

Mtaendelea kutukana .... ila "UKWELI" Utaendelea kusimama mahala pake bila kutetereka. Na Kwa mgao huu wa kulazimishwa. Hayo maneno yanazidi kusikika masikioni mwa wengi. Na yataendelea kusikika zaidi kadri siku zinavyozidi kusonga mbele taratibu.

Wao wanalamba "ASALI" wananchi tunalambishwa "SHUBIRI". Sasa Mabwawa ya hydroelectric yanafunguliwa kwa kuhujumiwa kama zamani, Ili tu walioko kwenye mfumo waendelee kuleta utitiri wa miradi ya umeme kwa 10%.

Ili tu waendelee kupata 10% kwenye makampuni yanayouza majenereta makubwa kwenye taasisi kama mabenki na viwanda.

Ili tu waendelee kupata 10% kwenye upatu wa mradi wa gesi ya LNG-Mtwara unaonadiwa kimataifa.

Ili tu waendelee kupata 10% kwenye uwekezaji mpya nishati ya upepo na Solar.

Ili tu waendelee kuneemeka na 10% ya uuzaji Mafuta kwenye majenereta ya IPTL mpya. Tunawaona na Tunawapimia.

Alamsiki!

Soma: Wosia wa Hayati Magufuli ”Mtanikumbuka” Unatimia
fb_img_1666597826291_remastered-jpg.2397812
Utamkumbuka wewe
 
Yeye dhalimu alikuwa ametanguliza nini?
Mimi nilizani utalalamika labda familia yako imeguswa na mkono wa Magu Kumbe wapinzani sasa wewe kinakumiza ni nini wakati wenzako hiyo sehemu ya kazi yao
 
Endelea kujifariji wakati watu wanazidi kupiga pesa kwenye biashara.

Wewe endelea kuwaza watu wasio na Msaada.
 
Mimi nilizani utalalamika labda familia yako imeguswa na mkono wa Magu Kumbe wapinzani sasa wewe kinakumiza ni nini wakati wenzako hiyo sehemu ya kazi yao
Wapinzani ndio familia yangu.
 
Shida yako Ndio hiyo umetanguliza sana uchama kiasi ambacho unajiona wewe ni sehemu ya chama
Utapoteza mda wako bure kujibizana na huyo mjinga.achana nae.wewe kama baba zake wanakili uzuri wa jpm na wanasema huyu mama ni hivyoo,yeye bado ameshupaza shingo!?
 
Back
Top Bottom