Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 71,831
- 128,867
Ni kweli, ila sio kwa kiwango cha dhalimu magu.Mkuu huyu maza ni hatari sema amejificha kwenye dini
Ni kweli, ila sio kwa kiwango cha dhalimu magu.Mkuu huyu maza ni hatari sema amejificha kwenye dini
Kama chuki binafsi aliyokuwanayo kwetu wapinzani.Sijui ulifanywa nini una chuki binafsi hasa kwa Magufuli
Huyu bado Magu naye sialianza vizuri tuNi kweli, ila sio kwa kiwango cha dhalimu magu.
baada ya watu wake kama mahiga.. kijazi kutangulia. kama alikuwa anakiona kifo chake hicho kwenye kona..Tumsamehe tu mkuu, hata yeye hakujua kama atakufa.
Na hata baada ya kujua kwamba ataenda kufa, hakua na uwezo wa kufanya mabadiliko..
Alikuwa anashinda naobaada ya watu wake kama mahiga.. kijazi kutangulia. kama alikuwa anakiona kifo chake hicho kwenye kona..
Dhalimu toka hotuba ya mwanzo kwenye bunge la ufunguzi alianza hayo. Huyu mama anafuata ya dhalimu maana anaanza kuzidiwa kwenye siasa za upinzani, na washauri wake wanamwambia atumie mbinu zile za mtangulizi wake ili atawale bila pressure.Huyu bado Magu naye sialianza vizuri tu
Na kwambia huyu hafai hata kidogoDhalimu toka hotuba ya mwanzo kwenye bunge la ufunguzi alianza hayo. Huyu mama anafuata ya dhalimu maana anaanza kuzidiwa kwenye siasa za upinzani, na washauri wake wanamwambia atumie mbinu zile za mtangulizi wake ili atawale bila pressure.
Hili limama gaidi!Mkuu huyu maza ni hatari sema amejificha kwenye dini
Sipingi unachoamini, na sisemi kuwa huyu hawezi kuwa mbaya kuliko dhalimu, lakini bado naamini dhalimu was even worse.Na kwambia huyu hafai hata kidogo
Rais wangu wa maisha, pumzika lakini ukweli upo karibu"Siku moja mtanikumbuka, najua mtanikumbuka kwa mazuri si kwa mabaya, kwa sababu nime 'SACRIFICE' MAISHA YANGU kwa ajili ya Watanzania maskini" ~ Hayati. John Magufuli (RIP).
Ingawa najua kuna lile kundi lililojaa sumu, kwa machungu ya kukaa vijiweni baada ya kukumbwa na "Panga" la JPM kwenye vyeti fake, ajira hewa, utumbuzi majipu, uchaguzi 2020.
Mtaendelea kutukana .... ila "UKWELI" Utaendelea kusimama mahala pake bila kutetereka. Na Kwa mgao huu wa kulazimishwa. Hayo maneno yanazidi kusikika masikioni mwa wengi. Na yataendelea kusikika zaidi kadri siku zinavyozidi kusonga mbele taratibu.
Wao wanalamba "ASALI" wananchi tunalambishwa "SHUBIRI". Sasa Mabwawa ya hydroelectric yanafunguliwa kwa kuhujumiwa kama zamani, Ili tu walioko kwenye mfumo waendelee kuleta utitiri wa miradi ya umeme kwa 10%.
Ili tu waendelee kupata 10% kwenye makampuni yanayouza majenereta makubwa kwenye taasisi kama mabenki na viwanda.
Ili tu waendelee kupata 10% kwenye upatu wa mradi wa gesi ya LNG-Mtwara unaonadiwa kimataifa.
Ili tu waendelee kupata 10% kwenye uwekezaji mpya nishati ya upepo na Solar.
Ili tu waendelee kuneemeka na 10% ya uuzaji Mafuta kwenye majenereta ya IPTL mpya. Tunawaona na Tunawapimia.
Alamsiki!
Soma: Wosia wa Hayati Magufuli ”Mtanikumbuka” Unatimia
![]()
Shida yako Ndio hiyo umetanguliza sana uchama kiasi ambacho unajiona wewe ni sehemu ya chamaKama chuki binafsi aliyokuwanayo kwetu wapinzani.
Najipongeza tu kwa sababu nilimkubali toka alipokuwa hai. Ila ningeumia sana ningeanza kumkubali wakati hayupo. Nitamkumbuka milele"Siku moja mtanikumbuka, najua mtanikumbuka kwa mazuri si kwa mabaya, kwa sababu nime 'SACRIFICE' MAISHA YANGU kwa ajili ya Watanzania maskini" ~ Hayati. John Magufuli (RIP).
Ingawa najua kuna lile kundi lililojaa sumu, kwa machungu ya kukaa vijiweni baada ya kukumbwa na "Panga" la JPM kwenye vyeti fake, ajira hewa, utumbuzi majipu, uchaguzi 2020.
Mtaendelea kutukana .... ila "UKWELI" Utaendelea kusimama mahala pake bila kutetereka. Na Kwa mgao huu wa kulazimishwa. Hayo maneno yanazidi kusikika masikioni mwa wengi. Na yataendelea kusikika zaidi kadri siku zinavyozidi kusonga mbele taratibu.
Wao wanalamba "ASALI" wananchi tunalambishwa "SHUBIRI". Sasa Mabwawa ya hydroelectric yanafunguliwa kwa kuhujumiwa kama zamani, Ili tu walioko kwenye mfumo waendelee kuleta utitiri wa miradi ya umeme kwa 10%.
Ili tu waendelee kupata 10% kwenye makampuni yanayouza majenereta makubwa kwenye taasisi kama mabenki na viwanda.
Ili tu waendelee kupata 10% kwenye upatu wa mradi wa gesi ya LNG-Mtwara unaonadiwa kimataifa.
Ili tu waendelee kupata 10% kwenye uwekezaji mpya nishati ya upepo na Solar.
Ili tu waendelee kuneemeka na 10% ya uuzaji Mafuta kwenye majenereta ya IPTL mpya. Tunawaona na Tunawapimia.
Alamsiki!
Soma: Wosia wa Hayati Magufuli ”Mtanikumbuka” Unatimia
![]()
Magu alisimamia Mstari na hakuangalia urafiki.Tafuta popote ninapomsifia huyo mama. Lakini ukweli ni kuwa sio dhalimu kama alivyokuwa dhalimu magu.
Dini wapi wanafiki tu hao?Mkuu huyu maza ni hatari sema amejificha kwenye dini