Kinachonishangaza kwa Zito ni kwamba haoni kwamba alikosea CHADEMA na hayuko tayari kukiri makosa na udhaifu wake kwakuwa personality yake haiko hivyo
Zito amatumika na ccm, huu mradi haukuanza leo, na ni mmojawapo wa miradi mingi ya kukidhoofisha CHADEMA, wanajua nini kitatokea CHADEMA kikichukua nchi
Kuna mradi wa kuwafitinisha viongozi wa CHADEMA, au kuwaua, au kuwagombanisha na vyama vingine vya siasa, pia kutumia turufu ya udini ukanda na ukabila
Siwezi kusema CHADEMA hakifanyi makosa, lazima yawepo kwakuwa kinaongozwa na binadamu na sio malaika. Lakini tukikiweka CHADEMA na ccm/ACT kwenye mizania ya haki CHADEMA ni bora kuliko hao wengine
Zitto hatakubali hata siku Moja kuwa anatumika lakini matendo yake na mwelekeo wake utathibitisha kila kitu, tuwe na subra WAKATI SI MILELE
Na wanaomfuata hawajui kama wanatumika
Rafiki wa kike.as zito.aliyekuwa.akipokea.pesa.kutoka benk Za tz kisha kumtumia zito, zito na wajanja wenzie waliotaka kuiteka bavicha awali kabla ya matokeo kufutwa wakizisambaza fedha through mpesa Kwa viongoz wa wilaya matawi na mikoa ili wamsapoti zito
Hiv kwel shy land huoni japo unayo macho licha jr na wengine kukufunulia ukweli
Wote mnaoamia act kufuata uzalendo mnaouita ambao ni uzalendo ulio ktk mfuko wa zito na Kwa moyo wake tu na si Kwa nchi tz,
Kweli jr wakati si milele na November 2015 lazima tuimbe kila mmoja Kwa tune yake maneno haya aliyoyasema Paulo wakati anamuga timotheo ktk waraka wake wa pili
" nimeumaliza mwendo nimepigana vita vilivyo vizur imani nimeilinda nasubir kivikwa taji"
Only time will tell