Sasa najiunga na ACT Tanzania

Sasa najiunga na ACT Tanzania

chama kimoja kimeanzishwa kwa ajili ya kugawanya upinzani na hiyo ni ajenda yake kuu ili kufanikisha kuendelea na majoka wa makengeza na wao wakiwa wanufaika. Hiyo vita ni dhahiri
 
Kiongozi nenda mapema kaungane na zito. Ila ukifika huko uliza kama walioko ni malaika. Msalimie Zito ukifika mwambie akumbuke nyayo za mkigoma mwenzake KABURUO.
 
Chadema ni chama makini ever, hatuishi na wanafiki na wafuata mkumbo. Better we get rid off of fuc.... members
 
Kan'tangaze, Nimieipenda hiyo:
After Cheating, They go there!!!!
Haa haa haa Ukweli usiofichika. na

'There' they will taste it. Watasaga meno.
 
yaani mfa maji kweli akosi kutapatapa!!! HEHE sasa nataka kujua Mgombea Uraisi ACT ni nani au bdo Hamjaanza mchakato..Anyway time will tell the true colour of ACT once mkianza kupinduana kwenye katiba yenu katika kufanikisha maazimio na malengo yenu.hii ni kwasababu watukutu wote wapo ACT,notorious politicians wapo ACT-Tanzania,Unpatience politicians wapo ACT-Tanzania,Arrogant politicians wapo ACT-Tanzania....Time will tell to ssee their true colour
 
Michadema zitto atawatoa kamasi mwaka huu kila mtu nikiangalia anahasira na chadema kwa unafiki,uzandiki na ukabila wao.
 
Naona bado mnaishi kwenye fikra za CDM kwani ukamanda ndio asili yake nashauri mtafute jina lingine la hamasa waachieni CDM na jina lao
 
Walioshindwa sikuzote Yao matusi tu ACT karibun sana tunahitaji ukombozi wenu
 
Wanaharakati na watanzania wote ambao tunapenda maendeleo na demokrasia ya kweli tulioachana na chama cha ubaguzi na uchu wa madaraka.

Naomba tukutane hapa ili tuweze kushauriana namna yakuendelea na propaganda na ajenda zetu zuri za kimaendeleo katika jamii, lengo kubwa ni kukieneza chama chetu kipya cha ACT ili kiweze kujipambanua wazi kwa wanainchi katika harakati zake za kuwatetea wananchi ambao tangu wapate uhuru wamekosa fursa yakuvitumia maliasili za nchi yao kama ipasavyo.

Karibuni wote ili tuendeleze mikakati ya kulikomboa taifa letu, na hapa hapa tutapata fursa ya kutambuana wanaharakati wote tuliomo humu jamvini.

Karibuni sana.
Usikonde kiongozi, tayari huku Moshi nimeandaa wanachama wapya elfu kumi na nane, namsubiri zito aniletee kadi.
 
Vua gamba na gwanda vaa uzalendo act oyeeee tuko pamoja

ACT ni ujinga na kujitoa uewela. Eti uzalendo, nani mzalendo, uzalendo hauji kwa kuuandika kwenye katiba au kuutamka bali matendo. ZZK ni kama Augustn Mrema na hoja zake za kukamata dhahabu airport eti huo ni uzalendo, uzalendo ni dhana pana sana.
 
Unafuata nini huko ACT? Zile za escrow au zile za ccm walizokuwa wanamtumia yule mama wa kijerumani?????????
Au hizi alizohongwa na bunge za kiinua mgongo ambazo hakuzistahili? Nakuuliza mtoa hoja hivi ukifukuzwa kazi unalipwa kiinua mgongo au unapewa nauli ya kukurudisha utokako? Makinda zitendee haki pesa za watanzania na acheni kupindisha sheria za ajira.
 
Baada ya kutafakari kwa kina na kuangalia kila pande za Tanzania huku nikichunguza kwa undani vyama vya siasa hapa nchini kuanzia CCM, CDM, CUF, NCCR-MAGEUZI, n.k.

Nimeelewa yafuatayo:
1. CCM ni chama cha mafisadi ambacho kwa hakika hakiwezi kuleta unafuu wa maisha kwa mtanzania masikini asiye na mbele wala nyuma. Hivyo, hakuna ukombozi ndani ya CCM.


2. CDM ni chama kilichojaa unafiki, fitina, uzandiki na uhafidhina. Kuweka matumaini ndani ya chama hicho ni sawa na kupaka rangi upepo. Hakuna ukombozi kwa mtanzania wa hali ya chini utakaopatikana kupitia chama hicho.

CDM ina mwonekano wa kifamilia, vilevile ina kila dalidali ya mwelekeo wa Ki-CCM. Huku viongozi wake wakiwa wanasukumwa sana na nguvu za kusaka tonge.

3.Vyama vingine vyote vya kisiasa vilivyosalia ndani ya Tanzania havina demokrasia ya wazi na harisi yenye mwelekeo wa kumkomboa mtu masikini ndani ya nchi hii.

Hivyo, nguvu zangu zote na akili yangu yote sasa navielekeza kwenye chama kipya cha ACT.

Nashawishika kufanya hivyo kutokana na sera za chama hicho zilizo wazi pamoja na demokrasia ya wazi inayokiendesha chama hicho.

Lakini kikubwa zaidi ni namna safu ya uongozi wa chama hicho ulivyo na weledi wa kisiasa wa kutosha kutokana na kufahamu kwa kina siasa za nchi hii zilivyo.

Zitto Zuberi Kabwe, Prof. Kitila Nkumbo, Samson Mwigamba, Nyakarungu, na vichwa vingine vya uhakika naamua kuungana navyo katika harakati za kukomboa watanzania kutoka katika kucha za mkoloni mweusi CCM.

Demokrasia ya ukweli utaisikia tu kwa nchi za wenzetu. Ni ndoto kwa nchi za dunia ya tatu kupractice pure democracy! Binafsi naona wote ni wasaka tonge. Ndo maana wanasiasa wapo kwa ajili yao na familia zao! Huna lolote zaidi ya njaa kali.
 
yaani mfa maji kweli akosi kutapatapa!!! HEHE sasa nataka kujua Mgombea Uraisi ACT ni nani au bdo Hamjaanza mchakato..Anyway time will tell the true colour of ACT once mkianza kupinduana kwenye katiba yenu katika kufanikisha maazimio na malengo yenu.hii ni kwasababu watukutu wote wapo ACT,notorious politicians wapo ACT-Tanzania,Unpatience politicians wapo ACT-Tanzania,Arrogant politicians wapo ACT-Tanzania....Time will tell to ssee their true colour

Ni sawa na ngoma ivumayo sana...! Tangu lini ngozi ya kitimoto ikawamba ngoma? Shy land wee ni mshkaji wangu sana tu hapa JF lakini kwa hili nina maoni tofauti
Kwanza ni dhambi kabisa tena ni kejeli kubwa kwa Zito kujilinganisha na Nyerere R.I.P, Mwalimu hakujijenga binafsi na alipigania ukombozi wa kweli wa taifa hili, mwalimu hakuwa na tamaa ya Mali na alikuwa na maono
Zito ni mbinafsi, hii ni hulka yake hashauriki na haambiliki, yeye anajiona ni bora zaidi na popote alipo na chochote anachofanya hupenda kuwa juu/ kujikweza
Zito si mnyenyeku na akifanya hivyo hufanya kwa manufaa binafsi
Zito si mtu wa kutaka changamoto, kitu ambacho kitamgharimu hata huko ACT, akitokea mwanachama atakayepingana na misimamo yake ndipo hapo rangi zake halisi Zitakapoonekana

Kwasasa yupo HONEYMOON!kila kitu ni shangwe tu. Fungate hili likiisha akatulia ofisini ajenge chama ndipo hapo tutakaposhuhudia maajabu! Ni suala la muda tuu..!!!
 
Last edited by a moderator:
Katika nchi kama ya kwetu ambayo ujenzi wake uliishia kwenye msingi ambao tunaubomoa, hakuna chama cha siasa kilicho bora. Ili kuwa na kikundi kinachojiita cha siasa, inabidi uwe na taifa linalojitambua na kujielewa. Taifa linalofahamu wapi limetoka na wapi linaenda. Taifa la namna hiyo linakuwa na dira na falsafa inayofahamika kwa kila mtu. Hili tumeliua Tanzania, nchi pekee katika Afrika kusini mwa jangwa la Sahara iliyoanza kujijenga. Bado safari ni ndefu. Tunaoangalia mbali, tunakazia Pan-Africanism.
 
Makamanda CDM Wote acheni kujadili hawa vibaraka wa CCM-ACT, kikubwa tupange mikakati ya ushindi. Kuendelea kuwajadili hawa wasaliti ni kupoteza wakati bure.
Rai yangu; Elimu ni muhimu kwa wanachi, kila kamanda awe mjumbe kwa jirani yake katika kumng'oa mkoloni mweusi huyu CCM na vibaraka wake.
MUNGU nibariki Mimi pamoja na familia yangu.
 
Back
Top Bottom