Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,423
Kwani wewe ni nani mpaka utuambie habari zako za kujiunga na hicho kitup cha kulelea watoto watukutu?
kina lema au unamaana gan
Kwani wewe ni nani mpaka utuambie habari zako za kujiunga na hicho kitup cha kulelea watoto watukutu?
Kwa mtanzania mwenye upeo na akili ya kuelewa sidhani kama wanaweza kubaliana na wewe. Kwasababu tunahitaji mabadiliko sasa , sio miaka 20 ijayo. Ni ndoto na aingii akilini unaposema uendeleze mapambano na chama ambacho hakina hata mwezi mmoja. I understand argument yako kwamba vyama vingine sio perfect, lkn jua kwamba hakuna mtu ambaye ni perfect hata wewe mwenyewe you are not perfect. Kwahiyo point in kwamba, je tufanye mabadiliko Sasa na vyama ambavyo sio perfect lkn vimeshajiestablish kote nchini na vinafaamika au tusubiri ACT Kuleta mabadiliko miaka 20 ijayo na hapo hatujuhi kama hata kitasurvive au kufa kibudu?Wanaharakati na watanzania wote ambao tunapenda maendeleo na demokrasia ya kweli tulioachana na chama cha ubaguzi na uchu wa madaraka.
Naomba tukutane hapa ili tuweze kushauriana namna yakuendelea na propaganda na ajenda zetu zuri za kimaendeleo katika jamii, lengo kubwa ni kukieneza chama chetu kipya cha ACT ili kiweze kujipambanua wazi kwa wanainchi katika harakati zake za kuwatetea wananchi ambao tangu wapate uhuru wamekosa fursa yakuvitumia maliasili za nchi yao kama ipasavyo.
Karibuni wote ili tuendeleze mikakati ya kulikomboa taifa letu, na hapa hapa tutapata fursa ya kutambuana wanaharakati wote tuliomo humu jamvini.
Karibuni sana.
Kwni hili ni jukwaa la CDM peke yenu?Mkuu sio kwamba umekosea jukwaa?
Tupo pamoja mkuu
UZALENDO NI DHANA PANA SANA nimependa hitimisho lako,sura halisi ya mchumba unaetarajia kumwoa ni pale atakapokanyaga nyumbani mwako kama mke,ACT kila la heri.ACT ni ujinga na kujitoa uewela. Eti uzalendo, nani mzalendo, uzalendo hauji kwa kuuandika kwenye katiba au kuutamka bali matendo. ZZK ni kama Augustn Mrema na hoja zake za kukamata dhahabu airport eti huo ni uzalendo, uzalendo ni dhana pana sana.
Vua gwanda vaa Uzalendo twenzetu.Kwani wewe ni nani mpaka utuambie habari zako za kujiunga na hicho kitup cha kulelea watoto watukutu?
act ni janga la kitaifa! ni chama cha wapigaji tu! nawapa miezi sita tu inawatosha mtakuwa mmesambaratika!Sema kwa sauti kubwa, ACT KIBOKO YAO.
Ujamaa!!!!Hebu nikumbushe serikali ya ccm inafuata siasa gani eti??ile aliyowaachia muanzilishi wa taifa hili??teh teh teh.Unafki ni kitu kibaya sana.Harakati za siasa najua sio mchezo.Kwavile mimi ni muumini wa ujamaa na siku zote sikubaliani na uliberali nililazimika kuupinde CDM kupitia misingi ya watu wanao sadifu katika UJAMAA.Na imani yangu ilikuwa siku moja Chadema itatoka katika mlengo wa kati na kuingia mlengo wa kushoto kupitia watu hao walio amini katika siasa za UJAMAA.Viongozi hao walio kuwa waumini wa Ujamaa ni PROF BAREGU,PROF MKUMBO,Pamoja na ndugu ZZK.Kwakuwa niliweka imani juu ya hawa watu nikiamini wataipeleka CDM kwenye misingi ya UASISI wa taifa hili,Na akiwa amebaki muumini mmoja tu ndani ya CDM anae amini katika UJAMAA ambae ni PROF BAREGU,Sioni future yake kama anaweza irudisha Chadema katika ujamaa.Kwa hiyo sina budi kukata shauli nami niungane na watu wa itikadi yangu ya UJAMAA,Ambao ni ACT.Ntaamini katika misingi ya UJAMAA maisha yangu yote.Na sasa jukumu langu kubwa nikuwa balozi wa ACT wa kujitolea katika kuwashawishi vijana wezangu wa elimu ya juu kujiunga na chama hiki cha KIJAMAA.
Kwni hili ni jukwaa la CDM peke yenu?
ZZK ni Lyatonga Mrema wa Pili wa Tanzania.
Mkuu serikali ya ccm ujamaa wake upo kwenye makaratasi tena ccm haina mfumo maalumu wa kuimalisha uchumi.Ujamaa wa Mwalimu Nyerere sio ujamaa huu wa CCM tena hawa MAGAMBA ni MABEPALI kabisa.Kama watu wote wanaofata itikadi ya ujamaa kama PROF BAREGU basi leo hii wangekuwa CCM.Lakini ccm ya sasa haina UJAMAA wowote tena nasema kama ingekuwa inafata miiko na sera za Ujamaa basi tusingekuwa apa tulipo.Mimi siku zote ntaamini katika ujamaa hata ACT kama isipofuata misingi ya Ujamaa na miiko yake,Itanipasa niachane na siasa nakubaki mtazamaji tu.Ujamaa!!!!Hebu nikumbushe serikali ya ccm inafuata siasa gani eti??ile aliyowaachia muanzilishi wa taifa hili??teh teh teh.Unafki ni kitu kibaya sana.
Zitto Zuberi Kabwe, Prof. Kitila Nkumbo, Samson Mwigamba, Nyakarungu, na vichwa vingine vya uhakika naamua kuungana navyo katika harakati za kukomboa watanzania kutoka katika kucha za mkoloni mweusi CCM.
Mkuu serikali ya ccm ujamaa wake upo kwenye makaratasi tena ccm haina mfumo maalumu wa kuimalisha uchumi.Ujamaa wa Mwalimu Nyerere sio ujamaa huu wa CCM tena hawa MAGAMBA ni MABEPALI kabisa.Kama watu wote wanaofata itikadi ya ujamaa kama PROF BAREGU basi leo hii wangekuwa CCM.Lakini ccm ya sasa haina UJAMAA wowote tena nasema kama ingekuwa inafata miiko na sera za Ujamaa basi tusingekuwa apa tulipo.Mimi siku zote ntaamini katika ujamaa hata ACT kama isipofuata misingi ya Ujamaa na miiko yake,Itanipasa niachane na siasa nakubaki mtazamaji tu.
Penye red umetisha.Association of Criminals in Tanzania wako too aggressive ... Hawachagui Jukwaa kisa Gawio la ESCROW limewatia upofu... Anyway Waliberali huwa kisharuala kikiwasha huwa wanalazimishwa kukunwa hawa ,... pengine hajakosea sana ....