Sasa najiunga na ACT Tanzania

Sasa najiunga na ACT Tanzania

Baada ya kutafakari kwa kina na kuangalia kila pande za Tanzania huku nikichunguza kwa undani vyama vya siasa hapa nchini kuanzia CCM, CDM, CUF, NCCR-MAGEUZI, n.k.

Nimeelewa yafuatayo:
1. CCM ni chama cha mafisadi ambacho kwa hakika hakiwezi kuleta unafuu wa maisha kwa mtanzania masikini asiye na mbele wala nyuma. Hivyo, hakuna ukombozi ndani ya CCM.

2. CHADEMA ni chama kilichojaa unafiki, fitina, uzandiki na uhafidhina. Kuweka matumaini ndani ya chama hicho ni sawa na kupaka rangi upepo. Hakuna ukombozi kwa mtanzania wa hali ya chini utakaopatikana kupitia chama hicho.

CHADEMA ina mwonekano wa kifamilia, vilevile ina kila dalidali ya mwelekeo wa Ki-CCM. Huku viongozi wake wakiwa wanasukumwa sana na nguvu za kusaka tonge.

3.Vyama vingine vyote vya kisiasa vilivyosalia ndani ya Tanzania havina demokrasia ya wazi na harisi yenye mwelekeo wa kumkomboa mtu masikini ndani ya nchi hii.

Hivyo, nguvu zangu zote na akili yangu yote sasa navielekeza kwenye chama kipya cha ACT.

Nashawishika kufanya hivyo kutokana na sera za chama hicho zilizo wazi pamoja na demokrasia ya wazi inayokiendesha chama hicho.

Lakini kikubwa zaidi ni namna safu ya uongozi wa chama hicho ulivyo na weledi wa kisiasa wa kutosha kutokana na kufahamu kwa kina siasa za nchi hii zilivyo.

Zitto Zuberi Kabwe, Prof. Kitila Nkumbo, Samson Mwigamba, Nyakarungu, na vichwa vingine vya uhakika naamua kuungana navyo katika harakati za kukomboa watanzania kutoka katika kucha za mkoloni mweusi CCM.

we we ni mzushi, wewe in gamba
 
Mwaka huu kampeni zitakuwa tamu sana
Mungu niweke hai nione anguko la CCM
 
Baada ya kutafakari kwa kina na kuangalia kila pande za Tanzania huku nikichunguza kwa undani vyama vya siasa hapa nchini kuanzia CCM, CDM, CUF, NCCR-MAGEUZI, n.k.

Nimeelewa yafuatayo:
1. CCM ni chama cha mafisadi ambacho kwa hakika hakiwezi kuleta unafuu wa maisha kwa mtanzania masikini asiye na mbele wala nyuma. Hivyo, hakuna ukombozi ndani ya CCM.

2. CHADEMA ni chama kilichojaa unafiki, fitina, uzandiki na uhafidhina. Kuweka matumaini ndani ya chama hicho ni sawa na kupaka rangi upepo. Hakuna ukombozi kwa mtanzania wa hali ya chini utakaopatikana kupitia chama hicho.

CHADEMA ina mwonekano wa kifamilia, vilevile ina kila dalidali ya mwelekeo wa Ki-CCM. Huku viongozi wake wakiwa wanasukumwa sana na nguvu za kusaka tonge.

3.Vyama vingine vyote vya kisiasa vilivyosalia ndani ya Tanzania havina demokrasia ya wazi na harisi yenye mwelekeo wa kumkomboa mtu masikini ndani ya nchi hii.
Hivyo, nguvu zangu zote na akili yangu yote sasa navielekeza kwenye chama kipya cha ACT. karibu
 
Last edited by a moderator:
Kumekucha tena...

picha.jpg
 
Baada ya kutafakari kwa kina na kuangalia kila pande za Tanzania huku nikichunguza kwa undani vyama vya siasa hapa nchini kuanzia CCM, CDM, CUF, NCCR-MAGEUZI, n.k.

Nimeelewa yafuatayo:
1. CCM ni chama cha mafisadi ambacho kwa hakika hakiwezi kuleta unafuu wa maisha kwa mtanzania masikini asiye na mbele wala nyuma. Hivyo, hakuna ukombozi ndani ya CCM.

2. CHADEMA ni chama kilichojaa unafiki, fitina, uzandiki na uhafidhina. Kuweka matumaini ndani ya chama hicho ni sawa na kupaka rangi upepo. Hakuna ukombozi kwa mtanzania wa hali ya chini utakaopatikana kupitia chama hicho.

CHADEMA ina mwonekano wa kifamilia, vilevile ina kila dalidali ya mwelekeo wa Ki-CCM. Huku viongozi wake wakiwa wanasukumwa sana na nguvu za kusaka tonge.

3.Vyama vingine vyote vya kisiasa vilivyosalia ndani ya Tanzania havina demokrasia ya wazi na harisi yenye mwelekeo wa kumkomboa mtu masikini ndani ya nchi hii.

Hivyo, nguvu zangu zote na akili yangu yote sasa navielekeza kwenye chama kipya cha ACT.

Nashawishika kufanya hivyo kutokana na sera za chama hicho zilizo wazi pamoja na demokrasia ya wazi inayokiendesha chama hicho.

Lakini kikubwa zaidi ni namna safu ya uongozi wa chama hicho ulivyo na weledi wa kisiasa wa kutosha kutokana na kufahamu kwa kina siasa za nchi hii zilivyo.

Zitto Zuberi Kabwe, Prof. Kitila Nkumbo, Samson Mwigamba, Nyakarungu, na vichwa vingine vya uhakika naamua kuungana navyo katika harakati za kukomboa watanzania kutoka katika kucha za mkoloni mweusi CCM.

Am sure zaidi ya Ushabiki Maandazi.. Hakuna unachojua kuhusu Act.. hujui hata hizo sera zilizokuvutia.
 
Harakati za siasa najua sio mchezo.Kwavile mimi ni muumini wa ujamaa na siku zote sikubaliani na uliberali nililazimika kuupinde CDM kupitia misingi ya watu wanao sadifu katika UJAMAA.Na imani yangu ilikuwa siku moja Chadema itatoka katika mlengo wa kati na kuingia mlengo wa kushoto kupitia watu hao walio amini katika siasa za UJAMAA.Viongozi hao walio kuwa waumini wa Ujamaa ni PROF BAREGU,PROF MKUMBO,Pamoja na ndugu ZZK.Kwakuwa niliweka imani juu ya hawa watu nikiamini wataipeleka CDM kwenye misingi ya UASISI wa taifa hili,Na akiwa amebaki muumini mmoja tu ndani ya CDM anae amini katika UJAMAA ambae ni PROF BAREGU,Sioni future yake kama anaweza irudisha Chadema katika ujamaa.Kwa hiyo sina budi kukata shauli nami niungane na watu wa itikadi yangu ya UJAMAA,Ambao ni ACT.Ntaamini katika misingi ya UJAMAA maisha yangu yote.Na sasa jukumu langu kubwa nikuwa balozi wa ACT wa kujitolea katika kuwashawishi vijana wezangu wa elimu ya juu kujiunga na chama hiki cha KIJAMAA.

nyerere j.k,aliondoka na ujamaa wake, ujamaa ulishindwa kuleta mabadiliko kwa wtanzani wa miaka ya 1980s, nyie mnataka kuturudisha kipindi cha maduka ya USHIRIKA! ,UKILA MKATE UNAULIZWA UMETOA WAP!

ALishindwa nyerere, mje ninyi mjiite WAJAMAA ,Tokeni hapa! acheni siasa za kitoto!
 
Baada ya kutafakari kwa kina na kuangalia kila pande za Tanzania huku nikichunguza kwa undani vyama vya siasa hapa nchini kuanzia CCM, CDM, CUF, NCCR-MAGEUZI, n.k.

Nimeelewa yafuatayo:
1. CCM ni chama cha mafisadi ambacho kwa hakika hakiwezi kuleta unafuu wa maisha kwa mtanzania masikini asiye na mbele wala nyuma. Hivyo, hakuna ukombozi ndani ya CCM.

2. CHADEMA ni chama kilichojaa unafiki, fitina, uzandiki na uhafidhina. Kuweka matumaini ndani ya chama hicho ni sawa na kupaka rangi upepo. Hakuna ukombozi kwa mtanzania wa hali ya chini utakaopatikana kupitia chama hicho.

CHADEMA ina mwonekano wa kifamilia, vilevile ina kila dalidali ya mwelekeo wa Ki-CCM. Huku viongozi wake wakiwa wanasukumwa sana na nguvu za kusaka tonge.

3.Vyama vingine vyote vya kisiasa vilivyosalia ndani ya Tanzania havina demokrasia ya wazi na harisi yenye mwelekeo wa kumkomboa mtu masikini ndani ya nchi hii.

Hivyo, nguvu zangu zote na akili yangu yote sasa navielekeza kwenye chama kipya cha ACT.

Nashawishika kufanya hivyo kutokana na sera za chama hicho zilizo wazi pamoja na demokrasia ya wazi inayokiendesha chama hicho.

Lakini kikubwa zaidi ni namna safu ya uongozi wa chama hicho ulivyo na weledi wa kisiasa wa kutosha kutokana na kufahamu kwa kina siasa za nchi hii zilivyo.

Zitto Zuberi Kabwe, Prof. Kitila Nkumbo, Samson Mwigamba, Nyakarungu, na vichwa vingine vya uhakika naamua kuungana navyo katika harakati za kukomboa watanzania kutoka katika kucha za mkoloni mweusi CCM.

Kama umeshagundua aina ya watu mnaojiunga na kukishabikia hapa JF hiki chama nikuunganisha na matamshi ya mwigamba kuwa focus ya chama ni kujiimarisha maeneo ya ..... na kuinyanganya ......huko zanzibar mtu mwenye akili timamu anaelewa hiki chama chenu ni cha aina gani na kinawalenga watu wa aina gani! Endeleeni na chama chenu lakini hamtafika popote kama huu ndo msingi wa chama chenu japo kwenye makaratasi mnadanganya! Mnaendelea kutia muhuri tuhuma za cdm kwa mwasisi na mwenyekiti wenu!
 
nyerere j.k,aliondoka na ujamaa wake, ujamaa ulishindwa kuleta mabadiliko kwa wtanzani wa miaka ya 1980s, nyie mnataka kuturudisha kipindi cha maduka ya USHIRIKA! ,UKILA MKATE UNAULIZWA UMETOA WAP!

ALishindwa nyerere, mje ninyi mjiite WAJAMAA ,Tokeni hapa! acheni siasa za kitoto!

Mkuu wameshiba mgawo wa escrow hawa chezea mafisa ccm wewe! Nani qnataka ujamaa wakati hata china wenyewe wanaukimbia kidesign! Wanamtumia nyerere kwa manufaa ya matumbo yao hawajua hata wanachokiongelea. Nyerere kama alikuwa anaona ujamaa ungefanikiwa kwanini hakusema lolote wakati ulikufa na yeye yupo akiwa anaangalia na hata hivyo alikimbia madarakani baada ya kuona it doesn't work!

ACT wasichamganye ujamaa na kipande cha ujamaa(Azimio la Arusha)
Azimio la Arusha kila chama chenye nia njema kinaweza kulirudisha kwaajili ya kurejesha maadili ya uongozi lakini siyo kusema eti wao ni wajamaa wakati wanachoongelea ni maadili yavuongozi tu!

Zitto anajua maduka ya ushirika ya enzi za ujamaa au huwa anaambiwa story anakurupuka kuwa ujamaa ni kitu rahisi? Huyu bwana mdogo aendelee kuwadanganya wenye akili ndogo kama huyu aliyeanzisha hii thread!

Hakuna chama kinaweza kuja na idealogy yenye balance zaidi ya mlengo wakati yaani ujamaa kiasi na liberal kiasi na hii ndiyo idealogy ya chadema. Sasa hawa wanataka kutudanganya na ujamaa gani utakaokubarika kwenye mazingira ya karne hii ya 21? Zitto angekuwa anaujua ujamaa anaouongelea asingepiga pesa huko Nssf na kwingineko. Nadhani pia amehamia masaki kama sikosei kitu ambacho kwa mjamaa ni kosa maana unapashwa kuishi maisha sawa na yule mtu wa mwisho kimapato ambaye kwa tanzania ni mtu mwenye nyumba ya tembe ilikuleta usawa kwa watu wote kwa kipato! Zitto anaweza kufanya haya ili kuuishi ujamaa anaouzungumzia?
 
Baada ya kutafakari kwa kina na kuangalia kila pande za Tanzania huku nikichunguza kwa undani vyama vya siasa hapa nchini kuanzia CCM, CDM, CUF, NCCR-MAGEUZI, n.k.

Nimeelewa yafuatayo:
1. CCM ni chama cha mafisadi ambacho kwa hakika hakiwezi kuleta unafuu wa maisha kwa mtanzania masikini asiye na mbele wala nyuma. Hivyo, hakuna ukombozi ndani ya CCM.

2. CHADEMA ni chama kilichojaa unafiki, fitina, uzandiki na uhafidhina. Kuweka matumaini ndani ya chama hicho ni sawa na kupaka rangi upepo. Hakuna ukombozi kwa mtanzania wa hali ya chini utakaopatikana kupitia chama hicho.

CHADEMA ina mwonekano wa kifamilia, vilevile ina kila dalidali ya mwelekeo wa Ki-CCM. Huku viongozi wake wakiwa wanasukumwa sana na nguvu za kusaka tonge.

3.Vyama vingine vyote vya kisiasa vilivyosalia ndani ya Tanzania havina demokrasia ya wazi na harisi yenye mwelekeo wa kumkomboa mtu masikini ndani ya nchi hii.

Hivyo, nguvu zangu zote na akili yangu yote sasa navielekeza kwenye chama kipya cha ACT.

Nashawishika kufanya hivyo kutokana na sera za chama hicho zilizo wazi pamoja na demokrasia ya wazi inayokiendesha chama hicho.

Lakini kikubwa zaidi ni namna safu ya uongozi wa chama hicho ulivyo na weledi wa kisiasa wa kutosha kutokana na kufahamu kwa kina siasa za nchi hii zilivyo.

Zitto Zuberi Kabwe, Prof. Kitila Nkumbo, Samson Mwigamba, Nyakarungu, na vichwa vingine vya uhakika naamua kuungana navyo katika harakati za kukomboa watanzania kutoka katika kucha za mkoloni mweusi CCM.

Tatizo la Watz wengi ni uvivu wetu wa kufikiri na kufanya tafiti kwenye masuala mengi hasa muhimu kama siasa, kwa miaka zaidi ya 20 ya siasa ya vyama vingi bado hatujaisoma siasa ya TZ. WHY? Na kabla hujawekeza akili na nguvu zako kwa Mh. ZZK, hebu jibu maswali yafuatayo na haya yanawahusu Watz wote waso na misimamo ya kisiasa kama ZZK.
- Kwa kifupi nipe chama cha siasa ambacho kwa uhakika hakina tabia za unafiki, fitina, uzandiki na ufahidhiza?
- Na pia nataka unijuze ni nani muasisi wa ACT na uasisi wake ulifanyika lini?
- Je unajua ni kwa nini ZZK hakwenda CCM au chama kingine zaidi ACT chama ambacho ni changa kuliko vyote?
- Tangu ACT imeasisiwa na baadaye kusajiliwa rasmi, je kwa nini walisubiri Mh ZZK kung'atuka CDM na then kukizindua rasmi baadaye mwezi huu?
- Je unajua siri ya hukumu ya Mahakama Kuu juu ya zuio la kesi ya ZZK kuweka zuio la kujadiliwa na CDM?
Kwa mwenendo huu wa watz basi ni kweli huyu umwitae mkoloni mweusi CCM kinapewa tiketi ya kutawala kwa muda mrefu sana
Akili mukichwa na wala usije chukulia kuwa kiongozi wako ni final.
Nasubiri majibu yako Bw. Nchaby.
 
Baada ya kutafakari kwa kina na kuangalia kila pande za Tanzania huku nikichunguza kwa undani vyama vya siasa hapa nchini kuanzia CCM, CDM, CUF, NCCR-MAGEUZI, n.k.

Nimeelewa yafuatayo:
1. CCM ni chama cha mafisadi ambacho kwa hakika hakiwezi kuleta unafuu wa maisha kwa mtanzania masikini asiye na mbele wala nyuma. Hivyo, hakuna ukombozi ndani ya CCM.

2. CHADEMA ni chama kilichojaa unafiki, fitina, uzandiki na uhafidhina. Kuweka matumaini ndani ya chama hicho ni sawa na kupaka rangi upepo. Hakuna ukombozi kwa mtanzania wa hali ya chini utakaopatikana kupitia chama hicho.

CHADEMA ina mwonekano wa kifamilia, vilevile ina kila dalidali ya mwelekeo wa Ki-CCM. Huku viongozi wake wakiwa wanasukumwa sana na nguvu za kusaka tonge.

3.Vyama vingine vyote vya kisiasa vilivyosalia ndani ya Tanzania havina demokrasia ya wazi na harisi yenye mwelekeo wa kumkomboa mtu masikini ndani ya nchi hii.

Hivyo, nguvu zangu zote na akili yangu yote sasa navielekeza kwenye chama kipya cha ACT.

Nashawishika kufanya hivyo kutokana na sera za chama hicho zilizo wazi pamoja na demokrasia ya wazi inayokiendesha chama hicho.

Lakini kikubwa zaidi ni namna safu ya uongozi wa chama hicho ulivyo na weledi wa kisiasa wa kutosha kutokana na kufahamu kwa kina siasa za nchi hii zilivyo.

Zitto Zuberi Kabwe, Prof. Kitila Nkumbo, Samson Mwigamba, Nyakarungu, na vichwa vingine vya uhakika naamua kuungana navyo katika harakati za kukomboa watanzania kutoka katika kucha za mkoloni mweusi CCM.
Watanzani ccm ni jini tusiangalie mtu chama ni cha kifisadi wizi mtupu
 
Kumbe ZZK tayari ni kiongozi??lol au ndo mwenyekiti wetu ACT???
 
Back
Top Bottom