Neutral Figure
JF-Expert Member
- Mar 8, 2015
- 537
- 201
Your thread is acting as an "anxiety-provoking" stimulus to Ufipa..kuwa tayari kwa matusi ya kuitwa mhaini na msaliti
Sema kwa sauti kubwa, ACT KIBOKO YAO.
Tupo pamoja mkuu
Propaganda uchwara za CCM!Wanaharakati na watanzania wote ambao tunapenda maendeleo na demokirasia ya kweli tulioachana na chama cha ubanguzi na uchu wa madaraka.
naomba tukutane hapa ili tuweze kushauriana namna yakuendelea na propaganda na ajenda zetu zuri za kimaendeleo katika jamii, lengo kubwa ni kukieneza chama chetu kipya cha ACT ili kiweze kujipambanua wazi kwa wanainchi katika harakati zake za kuwatetea wananchi ambao tangu wapate uhuru wamekosa fursa yakuvitumia maliasili za nchi yao kama ipasavyo.
karibu wote ili tuendeleze mikakati ya kulikomboa taifa letu, na hapa hapa tutapata fursa yakutambuana wanaharakati wote tuliomo humu jamvini. karibuni sana.
Ni njaa tu zinakusumbua!Wanaharakati na watanzania wote ambao tunapenda maendeleo na demokirasia ya kweli tulioachana na chama cha ubanguzi na uchu wa madaraka.
naomba tukutane hapa ili tuweze kushauriana namna yakuendelea na propaganda na ajenda zetu zuri za kimaendeleo katika jamii, lengo kubwa ni kukieneza chama chetu kipya cha ACT ili kiweze kujipambanua wazi kwa wanainchi katika harakati zake za kuwatetea wananchi ambao tangu wapate uhuru wamekosa fursa yakuvitumia maliasili za nchi yao kama ipasavyo.
karibu wote ili tuendeleze mikakati ya kulikomboa taifa letu, na hapa hapa tutapata fursa yakutambuana wanaharakati wote tuliomo humu jamvini. karibuni sana.
Vua gamba na gwanda vaa uzalendo act oyeeee tuko pamoja
mwaka huu mnalo
Kwani CHADEMA walitoa vyeti?
Mzee Tupatupa