Nashukuru sana macomrade wenzangu wa ccm..chama cha uhakika na chenye maono..naimani kila sehemu kuna changamoto na kuna njia nyingi nzuri za kupeleka mawazo na chama cha mapinduzi ni chama ambacho sikivu..nimefurahi sana macomrade na nitawashawishi wanaharakati wengi walioko kule chadema kwa kuwaeleza warudi huku ccm ndo chama sikivu na kinachoonyesha moyo wa kuwasaidia watanzania.
Karibu sana,
....................................................................................................................
Kwetu ww ni km mwana mpotevu tunakukaribisha kwa shangwe zote
Mimi ni mwanaharakati na mchambuzi wa siasa wa siku nyingi tokea nikiwa chuo kikuu cha Dar na sijawahi kuwa na chama chochote cha siasa,ni mmoja kati ya watu waliosimamia ule mgomo uliowezesha kupanda kwa boom toka sh.5000 hadi 7500..baada ya tafakari ya muda mrefu sasa nimefanya maamuzi rasmi naomba macomrades wa CCM mnipokee na nipo tayari na kwa uaminifu kufanya kazi katika chama hichi ambacho naona bado kina leta tumaini kwa wananchi..vijana wenzangu karibuni huku ccm..naomba mni PM viongozi ili nijue nawezaje pata kadi ya ccm..ni mimi mchambuzi na mwanaharakati..naomba mnipokee ccm
uamuzi ulioufanya ni uamuzi unaofanywa na watu wenye hekima tuuu! Wale mamburura na machizi wanywa gongo na wavuta bangi huwa wanajijua wapi panawastahili ambako ni CHADEMA ,,karibu ccm mkuu huju hakuna kutekana wala ukabila hakuna ,hiki ni chama cha wazalendo wapenda haki na maendeleo kwa manufaa ya wananchi kariiiiiiibu sana,.Mimi ni mwanaharakati na mchambuzi wa siasa wa siku nyingi tokea nikiwa chuo kikuu cha Dar na sijawahi kuwa na chama chochote cha siasa,ni mmoja kati ya watu waliosimamia ule mgomo uliowezesha kupanda kwa boom toka sh.5000 hadi 7500..baada ya tafakari ya muda mrefu sasa nimefanya maamuzi rasmi naomba macomrades wa CCM mnipokee na nipo tayari na kwa uaminifu kufanya kazi katika chama hichi ambacho naona bado kina leta tumaini kwa wananchi..vijana wenzangu karibuni huku ccm..naomba mni PM viongozi ili nijue nawezaje pata kadi ya ccm..ni mimi mchambuzi na mwanaharakati..naomba mnipokee ccm
Mimi ni mwanaharakati na mchambuzi wa siasa wa siku nyingi tokea nikiwa chuo kikuu cha Dar na sijawahi kuwa na chama chochote cha siasa,ni mmoja kati ya watu waliosimamia ule mgomo uliowezesha kupanda kwa boom toka sh.5000 hadi 7500..baada ya tafakari ya muda mrefu sasa nimefanya maamuzi rasmi naomba macomrades wa CCM mnipokee na nipo tayari na kwa uaminifu kufanya kazi katika chama hichi ambacho naona bado kina leta tumaini kwa wananchi..vijana wenzangu karibuni huku ccm..naomba mni PM viongozi ili nijue nawezaje pata kadi ya ccm..ni mimi mchambuzi na mwanaharakati..naomba mnipokee ccm
We kweli umepotea!umeshindwa kufikiri ukakosa uamuzi hata ukaenda PPT Maendendeo,NRA au hata kwa mzee Lyatonga Mrema?
mimi ni mwanaharakati na mchambuzi wa siasa wa siku nyingi tokea nikiwa chuo kikuu cha dar na sijawahi kuwa na chama chochote cha siasa,ni mmoja kati ya watu waliosimamia ule mgomo uliowezesha kupanda kwa boom toka sh.5000 hadi 7500..baada ya tafakari ya muda mrefu sasa nimefanya maamuzi rasmi naomba macomrades wa ccm mnipokee na nipo tayari na kwa uaminifu kufanya kazi katika chama hichi ambacho naona bado kina leta tumaini kwa wananchi..vijana wenzangu karibuni huku ccm..naomba mni pm viongozi ili nijue nawezaje pata kadi ya ccm..ni mimi mchambuzi na mwanaharakati..naomba mnipokee ccm
naongelea chama ni si mtu...then huwa na deal sana na habari zilizothibitishwa na za kusikia...kingine huo ushetani hata vyama vingine upo sema cha msingi kufuata taratibu na katiba ya chama husika...karibu ccm ili ujue ukweli mana naona unaishi mno kwa kusikia..kijana wangu pole na kazi uliyoanza ya kushiriki kazi za kishe.tani za mafisadi ,na wauza dawa za kulevya!
Ila sina shaka kama siyo mchumia tumbo utarudi kundini tu,labda kama una hadhi kama ya wato wa akina kapuya.au riz. 1 ambaye alinyakwa bei.jing na unga wa mhogo,hlafu mzee mwenzangu jey key aka kwea ungo kwenda kumuiskepu na majanga ya kitanzi.
Au huoni mika.taba 1.7 ,ya kishetani.