Sasa naanza kuwaelewa walioajiriwa

Sasa naanza kuwaelewa walioajiriwa

Kila mtu ana namna vile kaandikiwa, ni vile tu tunatamani maisha ya wengine, na hapo ni moja ya sehemu tunapofeli.
Hakuna kuandikiwa maisha,unapozaliwa unapewa karatsi jeupe tupu likiwa halina maandishi,maandishi unayaweka wewe.
 
Biashara Zinaweza kufeli.
Kazi unaweza fukuzwa (Rejea vyeti feki).

Hivo solution ni kupita na kila fursa ilioko mbele yako, kwa kuamini kua Tomorrow is not guaranted
kweli hujui kabisa, ukiwa vitani jifunze kujua ubora na udhaifu wako.

You can't just be catching or jumping in any trend, kisa tu una saka pesa!.

limit's and ability to foresee the game, ndio ina differentiate sharks and small fishes.
 
Baada ya kushauriwa na wana kwamba ukitaka kufanikiwa jiajiri.

Basi nikaacha kazi nikauza nyumba kuanza kuwekeza kwenye biashara.

Kilichofuata. Tusidanganyane ngoja niendelee kutumwa maisha yenyewe haya haya.

Nb sio kila binadamu kazaliwa kuwa tajiri wengine tumeubwa kutumwa using'ang'anize mambo
Utajipotezea muda.
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Mimi sijawahi kusikiliza au kufuata ushauri wa mtu. Maisha yangu ni jukumu langu.
 
Baada ya kushauriwa na wana kwamba ukitaka kufanikiwa jiajiri.

Basi nikaacha kazi nikauza nyumba kuanza kuwekeza kwenye biashara.

Kilichofuata. Tusidanganyane ngoja niendelee kutumwa maisha yenyewe haya haya.

Nb sio kila binadamu kazaliwa kuwa tajiri wengine tumeubwa kutumwa using'ang'anize mambo
Utajipotezea muda.
Uneshauriwa kuacha kazi, na ukauza na kibanda!, hapa umezingua mkuu.
 
Baada ya kushauriwa na wana kwamba ukitaka kufanikiwa jiajiri.

Basi nikaacha kazi nikauza nyumba kuanza kuwekeza kwenye biashara.

Kilichofuata. Tusidanganyane ngoja niendelee kutumwa maisha yenyewe haya haya.

Nb sio kila binadamu kazaliwa kuwa tajiri wengine tumeubwa kutumwa using'ang'anize mambo
Utajipotezea muda.
Nikwambie kitu Mimi ni the next billionaire kwenye safari za kuwa Fanya BINADAMU WENZANGU WAWE MATAJIRII NIMESHIRIKI SANAAAAAA

NIKIMEGA HIKI NACHO KIJUA KWAKO JAPO KWA KIDOGO YOUR NEXTDOOR BILLIONAIRE

PESA IPO KAKA PESAAA IPO HAPA DAR ES SALAMA

MIMI NINA ELIMU YOTEEE YA BONGO NIMEFAULU NECTA ZOOTEE KWA UFAULU WA JUU MPAKA CHUO KIKUU

PATA CONNECTION PATA WATU SAHIHI NI KU COPY NA KU PASTE.....HERE WE GOOO

NGOJA NIMALIZIE KONYAGIIII NDOGO HAPA NIENDE HOME.
 
Wanao mpigia kelele rostam Aziz ni WAAJIRIWa mkuu biashara isikie TU ndugu YANGU, Tuliopo tunaelewa mambo yanavo ENDA

Fullstop kwishaaaa
 
Back
Top Bottom