Mkuu,njoo tuuze zambarau na matikiti maji.Tutatusua.Baada ya kushauriwa na wana kwamba ukitaka kufanikiwa jiajiri.
Basi nikaacha kazi nikauza nyumba kuanza kuwekeza kwenye biashara.
Kilichofuata. Tusidanganyane ngoja niendelee kutumwa maisha yenyewe haya haya.
Nb sio kila binadamu kazaliwa kuwa tajiri wengine tumeubwa kutumwa using'ang'anize mambo
Utajipotezea muda.
Sawa mkuu nikizeeka najiajir huu ujana na pindi mtaji shwaaUsisikilize manano ya watu
Binaadamu tuna tofautiana katika uwezo wa kutatua changamoto zetu
So huwenda uwezo ulionao sio wakutatua changamoto za Kijiajiri
Kujiajiri Kuna taka uwe smart sana + uwe na Uwezo mkubwa sana wa kuhimili changamoto
Kwa hiyo bora niendelee kuchuuza matobholwa na karanga za kuchemshwa?Kuajiriwa raha yake iko tarehe 25 tu ama wakati unasign perdiem. Tofauti na hapo tunajikaza sana..🤣
Mlikua mnavuta ,ushauri ukakuzidia??Na wana wavutaji
Mkuu wewe acha tu kuna wana wakivuta wanamadini mbona unaweza kuona inachelewa kutoboa kimaisha ila ulisha zama kwisha habariMlikua mnavuta ,ushauri ukakuzidia??
😂😂
Kwahiyo mkuu mpaka unauza nyumba, bado bangi ilikua stim haijakata kichwani!!!
Umemaliza asante kwa ushauliTatizo lako hujaweka kisa kamili ili tujue umekosea wapi?
Ila kosa lako la kwanza kabisa uliweka mayai yote kwenye tenga moja,biashara lazima iwe na hela zingine pembeni ili kuisupport inapohitajika,
Kingine,Biashara huwezi ukaianza leo na kupata faida leo leo,biashara inahitaji time na kujitoa,
Wafanya biashara wengi tu walipata hasara mwanzoni ila hawakurudi nyuma bali walitafiti chanzo cha hasara kisha wakarekebisha,biashara inahitaji uvumilivu,
Mwisho kabisa,sio kila mtu anaweza kua mfanya biashara.
Mkuu kila kitu lazima liwe na mpango wa majaribio kabla ya kufanyiwa kazi.
hauwezi kuamka tu uka sema naacha kazi nika jiajiri, nope it doesn't work like that labda baba ako awe rostam so uko na un limited resources.
Miaka 2-3 Kabla ya kuacha kazi ili paswa uwe Umesha andaa mpango wako, na kuanza kuufanyia kazi uki angalia maendeleo yake.
Kingine biashara au ajira si kwa kila mtu.