Sasa naanza kuamini Mungu hakupi yote bana,

Sasa naanza kuamini Mungu hakupi yote bana,

Miaka minne leo ndo umegundua hana wowowo. Wonders shall never end
 
Kama unataka wowowo wafuate akina Cherokee dass akina bunz4ever akina msmermaid akina the bodyxx wanayoyakutosha ya kukutoa udenda kama huyu[emoji117] [emoji14] [emoji39] [emoji36]
 
Tafuta mwenye kigezo ukipendacho,wanawake wapo wengi wenye sifa zote! Mwanza kuna wanawake wamejaaliwa,wasomi na wametulia na hata baadhi ya wahaya,na wapare.
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Ngoja nicheke tena kidogo
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Any way ndo hvo wanaume wakiafrica sijui tuna nn yan tukiona tako tuu roho juujuu. Ila naomba ujue hili wanawake wenye makalio makubwa huwa hawanaga akili za kimaisha Mungu hamp vyote
 
Mkuu hiyo laana ya kugeuka nyuma baada ya kuona wowowo haikwepeki hata ukioa mwenye nalo.

Mimi mke wangu analo la haja ila nikiongozana naye wakipita wengine lazima nigeuke. So bora uwe mpole tu kwa huyo uliyebahatika naye .
 
Back
Top Bottom