Kuna safari ndefu sana kwa vijana wa Kitanzania, mleta uzi nakusikitikia sana lakini namsikitikia zaidi huyo binti unayemzungumzia, na hata kama hutaishi naye pia namsikitikia binti yeyote mwingine 'atakayeuvaa mkenge' kuishi na wewe, nawasikitikia wazazi wako na wazazi wa binti atakayeishi na wewe, yaani wewe ni 'bomu', na 'bonge la fala', jipange ujiongeze ili utambue nini maana ya mwenza wa kuishi naye milele, jipange au uliza na omba ushauri uelekezwe vigezo vya mwenza wa maisha wa milele, kama kwako kigezo ni kuwa na wowowo, na upuuzi mwingine, basi bado uko nyuma sana,
Nakubaliana na mchangiaji mmoja kwamba kuna umuhimu hapa JF, waleta mada wawe wanachangia gharama kidogo, wanapoweka mada zao hapa, nadhani itasaidia kuongeza na kudhibiti ubora wa postings za hapa
Nakubaliana na mchangiaji mmoja kwamba kuna umuhimu hapa JF, waleta mada wawe wanachangia gharama kidogo, wanapoweka mada zao hapa, nadhani itasaidia kuongeza na kudhibiti ubora wa postings za hapa