Elitwege
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 5,154
- 10,809
Unaposaliti nchi na kuanza kutetea wezi wa madini unategemea nini ??Machozi ya Watanzania karibu kila kona ya nchi kuhusu chuki na visasi kwa kutisha vya huyu dikteta uchwara KAMWE haviwezi kuleta neema yoyote kwa huu utawala dhalimu ambao Watanzania wengi wanazidi kuukana.
Kazi ya usalama ni kuhakikisha nchi iko salama,
Ukitishia usalama maana yake unatishia ajira zao pia wanalipwa mshahara kwa kazi hiyo.
Kuna haja gani ya kulipa mshahara watu wa usalama wakati hatuna usalama??
Let them do they are job
Na hii siyo kwetu ni duniani kote.
Sent using Jamii Forums mobile app