Sasa Magufuli kuhamishia vita kwenye mikataba & sekta ya Oil & Gas

HNIC

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
1,898
2,195
banner_Industries_OilGas.jpg

The word is Mheshimiwa ana nondo zote na tayari kazi ishafanyika hivyo kaeni mkao wa kula. Na hapa kuna marais wawili wastaafu (mkwere na chinga) hawatokuwa na pa kuchomokea. Mtaelewa kwa nini Manji hatotoka ndani miaka 2 ijayo.

Stay Tuned...
 
Hakuna vita ya mtu mmoja.Aeishafail ya madini Sidhani kama hii atatoka.Matumizi.mabaya ya madaraka ndiyo alichoweza
 
Machozi ya Watanzania karibu kila kona ya nchi kuhusu chuki na visasi kwa kutisha vya huyu dikteta uchwara KAMWE haviwezi kuleta neema yoyote kwa huu utawala dhalimu ambao Watanzania wengi wanazidi kuukana.

mkuu nko huku kijijin, jana kwenye taarifa ya habari ya itv nlishangaa kukuta ukumbini watu wamejaa si mchezo baada ya habar ya lisu kusomwa watu wote wakasambaa ukumbi ukabaki mtupu. hata habar ya mkulu watu hawakuwa na time nayo, wananchi wanechoshwa na udhalimu wa hawa watu
 
Huyu HNIC zamani alikuwa smart sana lakini hivi sasa amegeuka kuwa mpiga propaganda za Juma Pondamali Mensa! Kabla hujaleta hizo habaro, hebu kwanza tuwekee copy za magazeti ya kimataifa yale ambayo ulituambia magezeti hayo yamenunuliwa na Barrick Gold ili kumpiga vita Mensa!

Kumbuka habari hiyo uliileta baada ya mazungumzo kuanza na ukatuambia "stay tuned"! Nakukumbusha, tuwekee hapa copies za Economist & Co ambazo zimeanza kumshambulia jamaa baada ya kununuliwa!
 
Machozi ya Watanzania karibu kila kona ya nchi kuhusu chuki na visasi kwa kutisha vya huyu dikteta uchwara KAMWE haviwezi kuleta neema yoyote kwa huu utawala dhalimu ambao Watanzania wengi wanazidi kuukana.
Hao wa kwako walikuwa tea nini muda wote?
 
Machozi ya Watanzania karibu kila kona ya nchi kuhusu chuki na visasi kwa kutisha vya huyu dikteta uchwara KAMWE haviwezi kuleta neema yoyote kwa huu utawala dhalimu ambao Watanzania wengi wanazidi kuukana.
Unawakilisha waTz wangap, eti machoz ya waTz
 
Jana nime mskiliza nadhani kuna kitu kimoja, asi preempt mbinu zake nzuri, itamsaidia kuwabana hawa watu mapema
 
banner_Industries_OilGas.jpg

The word is Mheshimiwa ana nondo zote na tayari kazi ishafanyika hivyo kaeni mkao wa kula. Na hapa kuna marais wawili wastaafu (mkwere na chinga) hawatokuwa na pa kuchomokea. Mtaelewa kwa nini Manji hatotoka ndani miaka 2 ijayo.

Stay Tuned...
Tundu Lissu apone kwanza ndiyo nitajaribu kumuelewa
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Mr. President I need my Noah right now, before I got 10 shots.

"PAMBANA NA HALI YAKO"
 
banner_Industries_OilGas.jpg

The word is Mheshimiwa ana nondo zote na tayari kazi ishafanyika hivyo kaeni mkao wa kula. Na hapa kuna marais wawili wastaafu (mkwere na chinga) hawatokuwa na pa kuchomokea. Mtaelewa kwa nini Manji hatotoka ndani miaka 2 ijayo.

Stay Tuned...
Bila kusahau kuwa amehamishia pia vita kwenye mwili wa Tundu Lissu na mawakili wengine kama Fatma Karume!
 
  • Thanks
Reactions: PNC
banner_Industries_OilGas.jpg

The word is Mheshimiwa ana nondo zote na tayari kazi ishafanyika hivyo kaeni mkao wa kula. Na hapa kuna marais wawili wastaafu (mkwere na chinga) hawatokuwa na pa kuchomokea. Mtaelewa kwa nini Manji hatotoka ndani miaka 2 ijayo.

Stay Tuned...
iwe salama tu kwa watanzania
 
Back
Top Bottom