Sasa Magufuli kuhamishia vita kwenye mikataba & sekta ya Oil & Gas

Machozi ya Watanzania karibu kila kona ya nchi kuhusu chuki na visasi kwa kutisha vya huyu dikteta uchwara KAMWE haviwezi kuleta neema yoyote kwa huu utawala dhalimu ambao Watanzania wengi wanazidi kuukana.
Unaposaliti nchi na kuanza kutetea wezi wa madini unategemea nini ??

Kazi ya usalama ni kuhakikisha nchi iko salama,
Ukitishia usalama maana yake unatishia ajira zao pia wanalipwa mshahara kwa kazi hiyo.

Kuna haja gani ya kulipa mshahara watu wa usalama wakati hatuna usalama??

Let them do they are job

Na hii siyo kwetu ni duniani kote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: BAK
KAma kadhamilia kufanya mema kwanini hataki kukosolewa?????
Anataka kuwaua wanaomkosoa...ilihali wanaokosoa wako sahihi na wanasema ukweli.hapa napata shaka...huyu laisi ni muhuni tu kama wahuni na wezi wengine tu wa kawaida
 
Unaposaliti nchi na kuanza kutetea wezi wa madini unategemea nini ??

Kazi ya usalama ni kuhakikisha nchi iko salama,
Ukitishia usalama maana yake unatishia ajira zao pia wanalipwa mshahara kwa kazi hiyo.

Kuna haja gani ya kulipa mshahara watu wa usalama wakati hatuna usalama??

Let them do they are job

Na hii siyo kwetu ni duniani kote.

Sent using Jamii Forums mobile app
Strange!
 
Kwa nini anaita vita wakati mikataba tumesaini wenyewe? Kwa sisi wataalamu wa "discourse analysis", anatumia neno "vita" ili kuhalalisha "solutions" flani flani. Na solution anayojaribu kuhalalisha ni pamoja na matumizi ya nguvu ya dola ndivyo sivyo, ikiwa ni pamoja na "kuwaondoa" watu anaodhani wanakwamisha "vita". Usipo-frame masuala ya madini kama "vita", utapata wapi uhalali wa kutumia "nguvu ya dola" (Ikiwa ni pamoja na kuhalalisha kunasa mawasiliano ya "adui") dhidi ya wale unaojaribu kuwa-define kama "maadui wa kivita"?
 
Usalama wa watu ni muhimu kuliko hayo mafuta,vitu viliumbwa kwa ajili ya watu, usalama kwanza uimarishwe
 
Mwambie aendeshe gari kwa dira sio kurukaruka kama zombie mara huku mara kule maisha magumi huku kwetu hatumuelewi aisee
 
Mkuu, faida ya hiyo gesi itakuwa ya nani?.kama una uchungu na Watanzania ni sehemu moja ya shilingi, mwache Magu afanye sehemu nyingine..sio kupinga kila kitu
Wewe endelea kula bata.. Wenye uchungu na watanzania watakuja sio kujiona wewe ni mfalme.

Hata simba alijitambua anafanya kazi kwa ufanisi mkubwa leo hata kushika maiki inateleza, machozi yanamtoka na alikuwa na kauli kama.za kwako.

Wanaolia kwa namna moja au nyingine ni wengi sio mmoja na hawapati majibu. Majibu ni kama ya kwako. Hongera sana.
 
Hakuna vita ya mtu mmoja.Aeishafail ya madini Sidhani kama hii atatoka.Matumizi.mabaya ya madaraka ndiyo alichoweza
Vita hadi angemshirikisha lisu na kufuata ushaur wake

posti fromu Nokia kitochi yuzingi jamii forum
 
Back
Top Bottom