Sasa Magufuli kuhamishia vita kwenye mikataba & sekta ya Oil & Gas

nguvu

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
11,917
2,000
Huku ndo atakutana na mabalaa maana nakumbuka mkubwa Chenge mwenyewe alishauri sheria isitungwe kwa hati ya dharula
 

nguvu

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
11,917
2,000
Unaposaliti nchi na kuanza kutetea wezi wa madini unategemea nini ??

Kazi ya usalama ni kuhakikisha nchi iko salama,
Ukitishia usalama maana yake unatishia ajira zao pia wanalipwa mshahara kwa kazi hiyo.

Kuna haja gani ya kulipa mshahara watu wa usalama wakati hatuna usalama??

Let them do they are job

Na hii siyo kwetu ni duniani kote.

Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonekana unawajua waliofanya tukio
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom