Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,048
- 13,495
No hatuhitaji kusubiri 50 years to come ila mtupe muda maana mnaiandama sana Arsenal. Ingawa kuna makosa mengi yanafanywa na kocha Wenger ambayo yanarekebishika ila anakuwa mkaidi tu. Kwa mfano kwenye kununua wachezaji na kuwapanga uwanjani
Hadi lini? Maana toka mkapa ni prezoo m nasubiri tu!!