Chinga boy
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 412
- 103
Sina raha ya maisha,kila week end pressure,sitembei kivua mbele kama wengine,hata ile t shirt naona Aibu kuivaa.Mbona wanasiasa wanahama vyama,Ndoa zinavunjika na maisha yanasonga mbele,Wacheza soka wanahama timu na bado wanakuwa na furaha,Wademu wakali na wenye pesa wanaachwa .Kuanzia sasa ARSENAL tupa kule naelekea ETIHAD