tuna vijana wazuri sanaSawa ngoja tusubili ila usiwe umri wa MTU mzima, emiret ni Sanchez,podosk, na welbeck wengine si sana
tuna vijana wazuri sanaSawa ngoja tusubili ila usiwe umri wa MTU mzima, emiret ni Sanchez,podosk, na welbeck wengine si sana
Sina raha ya maisha,kila week end pressure,sitembei kivua mbele kama wengine,hata ile t shirt naona Aibu kuivaa.Mbona wanasiasa wanahama vyama,Ndoa zinavunjika na maisha yanasonga mbele,Wacheza soka wanahama timu na bado wanakuwa na furaha,Wademu wakali na wenye pesa wanaachwa .Kuanzia sasa ARSENAL tupa kule naelekea ETIHAD
tuna vijana wazuri sana
Ndio manager aliyechukua UCL kupitia clubs 3 tofauti ndio aliyeibua Chelsea from zero, hao Madrid pia kawapa ubingwa, hajafungwa na Wenger bado,ndie alie haribu sherehe za ubingwa Liverpool mwaka huu na kumfanya Suarez kulia kwa uchungu Mkuu, kumbe bingwa hapendwi juz kapoteza dunia nzima imeshangilia hapo ndo ujue watu hawapendi mafanikio yake.
Bigup the special one
Mi nakumbuka Mou alichukua ucl na FC Porto na Inter Milan,naomba unikumbushe hiyo club ya tatu mkuu.
Karibu liverpool mkuu..angalau tunachakujivunia japo kwa kipindi hiki atuchekani.
Mfano nan?
wewe hujitambui ndio maana unahama timu.
Arsenal daima. Ni kipindi cha mpito tu hiki
kaka kuna watu walivumilia miaka 50 mmesahau tuDuuh.. Mpito miaka 10..? Mna mioyo ya chuma nyie lol..
Jack hadi mwezi wa tatu!!gibbs, ramsey, wilshere, chamberlain etc
tuweke dau mezani kaka, arsenal anamaliza kwenye top fourJack hadi mwezi wa tatu!!
Hao wengine mbona juzi walicheza?
Nyie jiandaeni kushuka daraja
sina raha ya maisha,kila week end pressure,sitembei kivua mbele kama wengine,hata ile t shirt naona aibu kuivaa.mbona wanasiasa wanahama vyama,ndoa zinavunjika na maisha yanasonga mbele,wacheza soka wanahama timu na bado wanakuwa na furaha,wademu wakali na wenye pesa wanaachwa .kuanzia sasa arsenal tupa kule naelekea etihad
kaka kuna watu walivumilia miaka 50 mmesahau tu
kaka kuna watu walivumilia miaka 50 mmesahau tu
Nanyie mnataka kusubili miaka 50?