Sasa huyu anapekua nini......!

Sasa huyu anapekua nini......!

Mtambuzi

Platinum Member
Joined
Oct 29, 2008
Posts
8,809
Reaction score
15,443
Aaaaagh, tabia hii siipendi mimi...!!!!!!!!!!!!


why-men-cheat-madamenoire-com-300x414.jpg
 
Mataarisho ya kufua, si lazima ucheki kama kuna vitu vimebaki usijeharibu na maji ya sabuni?
 
anapekuwa hela ili apate ya kutumia inaonekana hapewi sasa kaaamua kuchukua mwenyewe
 
Utawajua tu wazee wa mipango ya kando lolz...

Kwa hyo mwataka kama kuna kitu cha kumchoma huko kimuumize ??

Au kama kuna document za mzee za muhimu ziharibike???

Peopleeeeeez learn to think POSITIVE.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Anaangalia bili za bia na supu za jana usiku ukiwa bar halafu home kila siku unalalamika huna pesa, haya niliyaona sana kwenye familia niliyokulia
 
Ana kila sababu ya kuangalia na kusoma hiyo karatasi na nyinginezo atazokuta kwenye nguo katika harakati za kutaka kufua, maana nyingine zinahitaji kutunzwa na nyingine kutupwa, ili awe fair katika hilo lazima atupie jicho kwa ufasaha mkubwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom