Nawezaje kuondokana na hali ya ukimya

Nawezaje kuondokana na hali ya ukimya

WAKUU mm ni Introvert,lakini mm hii hali me siipendi,Nataman kuwa kama watu walio changamka,, kifupi jaman Nataman kuondokana na ukimya niwe muongeaji japo niwe muongeaji wa kati, lakini hii hali imekuwa ikinisumbua sana.

Nifanyaje wakuu ili niwe kwenye hali ninayo itaka
ni muhimu sana kuskiliza kwa sauti hotuba au makala mbalimbali, mathalani za wahuburi, wataalamu wabobevu wa afya au wanasiasa kwa lugha yoyote ile uipendayo, kisha baadae jitokeze na ujiunge na wenzako kijiweni na bilashaka yoyote utakua na cha kusumulia na hatimae huo utakua mwanzo wa kuondokana na hali hiyo ya ukimya unao kufedhehesha 🐒
 
Unatumia vilevi?.
Kama hutumii . Basi jaribu siku moja.
 
Unajua kuna kunywa na kuna kulewa.

Mtu akilewa ndio anakuwa mzito kuongea.

Kama hanywi bas aanze na bia laini laini. Zile za kwenu zile 😊😊😊. Wakina serenget apple, Brutal etal . Hata 2 tu aone anavyochangamka.
Au wine Saint Anne.
sijui kwanini radha ya saint Anne siielewi asee,,
mi namshauri atafute mke aoe ndo amfanye rafiki yake tu
 
hapo kwenye jina tupo wachache ambao tunatumia majina yetu,,

hivi kwanini uliamua kujiita jina la bia?
Bana eeeh.
ilikuwa kila nikitoka job saa 11.
Natulia sehem nakunywa bia 2 tatu alafu naenda home.

Na ndio muda natumia pia kuperuzi mitandaoni. Nilikuwa sijajiunga rasmi kwa miaka 3 hivi. Naingia kama mgeni.

Sasa kuna mada nikaona nichangie
ile kujiunga haraka haraka nikawa nawaza jina na mbele yangu nakunywa castle lite.😊😊😊 nikasema niandike hilo hilo.

Ila mm sio Mlevi.
Ni kijana najitunza vizur tu na Nampenda Yesu.
 
ni muhimu sana kuskiliza kwa sauti hotuba au makala mbalimbali, mathalani za wahuburi, wataalamu wabobevu wa afya au wanasiasa kwa lugha yoyote ile uipendayo, kisha baadae jitokeze na ujiunge na wenzako kijiweni na bilashaka yoyote utakua na cha kusumulia na hatimae huo utakua mwanzo wa kuondokana na hali hiyo ya ukimya unao kufedhehesha 🐒
Umesahau neno lako la mwisho (gentlemen)
 
Bana eeeh.
ilikuwa kila nikitoka job saa 11.
Natulia sehem nakunywa bia 2 tatu alafu naenda home.

Na ndio muda natumia pia kuperuzi mitandaoni. Nilikuwa sijajiunga rasmi kwa miaka 3 hivi. Naingia kama mgeni.

Sasa kuna mada nikaona nichangie
ile kujiunga haraka haraka nikawa nawaza jina na mbele yangu nakunywa castle lite.😊😊😊 nikasema niandike hilo hilo.

Ila mm sio Mlevi.
Ni kijana najitunza vizur tu na Nampenda Yesu.
hapo mwisho umedanganya bwana😆
 
Back
Top Bottom