Sasa hivi Samia Yuko Lockdown (Self imposed)

Sasa hivi Samia Yuko Lockdown (Self imposed)

Ileje

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
11,797
Reaction score
18,038
Nchi pekee ambazo Rais Samia yuko huru kuzitembelea duniani ni Uganda na Burundi kwa wauaji wenzake. Nchi nyingine zote akithubutu kufanya ziara lazima atazomewa 😭!

Hii ni aibu kubwa kwa Watanzania!
 
Screenshot_20251120-220343~2.png
 
Nchi pekee ambazo Rais Samia yuko huru kuzitembelea duniani ni Uganda na Burundi kwa wauaji wenzake. Nchi nyingine zote akithubutu kufanya ziara lazima atazomewa 😭!

Hii ni aibu kubwa kwa Watanzania!
Malipo ni hapahapa
 
Sio kutembelea nchi tu,hata kutembelea mitandaoni hawezi, sasahivi kakabidhiwa lisimu kubwa la tochi anacheza game la nyoka kutwa nzima
 
Back
Top Bottom