Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,856
- 22,189
Watanzania ni kama watoto tuliodekezwa, halafu ghafla tumekuwa yatima.Watanganyika tuna hasara Sana. Sijui tumemkosea wapi Mungu. Hii adhabu ni kubwa mno
Inabidi tujitathmini, tuishi kwenye reality, tuache kuishi kwenye fantasy ile ya zamani. Ni adhabu kubwa tumeipata lakini trauma tuliyoipata ni fraction ya zile walizopata jamii nyingine, mfano Warusi wakati wa WWII.