Sasa halina tena ubishi huyu ndiye Rais wa awamu ya tano wa Tanzania, amini usiamini!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,548
108,881
Fahmi Dovutwa au mzee Hashim Rungwe. Mmoja wapo hapo ndiyo atachaguliwa kwa kura nyingi na Watanzania hapo October 25, 2015. Nina uhakika nao kwa 0%.
 
Moderator watu kama huyu mleta mada na wenzie wa Lumumba wanashusha credebility ya jf,cha ajabu mnawafuga!!!
 
Last edited by a moderator:
Ujumbe wa mada hii ni kwamba mtoa mada amechoka na CCM lakini haoni mgombea wa kumchagua nje ya CCM, tafakari, fanya maamzi tarehe 25/10/15
 
Back
Top Bottom