Saruji bei gani huko kwenu?

Sasa hivi ujenzi umepamba moto kila mahali.. Mambo ni moto.. Vijana wasio na elimu hawatokosa kazi kama sio wavivu.. Site za kujenga ziko kibaoo.. Huu ni wakati wa wenye viwanda na hardwares kuvuna pesa!
Yaani sementi inapanda bei wewe unasema nini kuwa ndio watu watajenga mbona sinakuelewa?!
 
Yaani sementi inapanda bei wewe unasema nini kuwa ndio watu watajenga mbona sinakuelewa?!
Ngoja nitumie mfano tata kukuuliza swali.
Kama wewe ni kijana wa miaka 30, ni bora uone uch* wa mzee ambao unaweza kuutumia ukizidiwa au uuone uchi wa mtoto ambao huwezi kuutumia hata ukizidiwa?

Iko hivi katika maswala ya sera.. Ni bora kuwa na mzunguko mkubwa wa pesa utaosababisha bei za bidhaa ziongezeke kwa kiasi fulani ihali watu wengi wana uwezo wa kununua bidhaa hizo kuliko uwe na mzunguko mdogo wa pesa utaosababisha bei kuwa chini ihali watu wengi hawana uwezo wa kununua bidhaa izo!

Mfano mfuko wa simenti ukauzwa Tsh elfu tano ihali wewe umefukuzwa kazi kutokana na vyuma kubana au mfuko ukauzwa Tsh elfu 15,000 baada ya wewe kupata ajira wakati vyuma vimeachia ni kwa status ipi utaweza kujenga?
Definitely kipindi ukiwa na ajira.
 
Sio mingi kama unapiga tofali..hapo tofali 4000 standard au 3500 ukiamua kufyatua tofali 35 kwa mfuko...kwa kujengea tu...ni mingi

Kuna tofauti kati ya kujenga na kujengea?

Kwa hesabu zako hapo, mifuko mia imeishia kupiga tofali tu.... hivyo utahitaji mingine kwa ajili ya kujengea.

Bado ni mingi?

Swali la mdau lilikuwa: “Mifuko 100 kwani unajenga shule?”
 
Kwa kifupi ni michache kwa standard house yaani vyumba vitatu.. sebule.. jiko.. dining...
 
Sasa hivi ujenzi umepamba moto kila mahali.. Mambo ni moto.. Vijana wasio na elimu hawatokosa kazi kama sio wavivu.. Site za kujenga ziko kibaoo.. Huu ni wakati wa wenye viwanda na hardwares kuvuna pesa!
Sio kwamba kwa sasa vijana wanajenga sana, ni hii miradi mikubwa ya standad geji na kule bwawa la umeme, ile miradi inakula cement usipime.
 
Hakuna advantage ya kuishi karibu na kiwanda? Kigamboni nyati 16,000..
Dangote sijui aliishia wapi.
 
Back
Top Bottom