No SQL
JF-Expert Member
- Nov 8, 2014
- 7,383
- 13,471
Wasalaam,
Kigamboni ....
Nyati grade 32 tunanunua 15k..mpaka 16k
nyati grade 42.5 hakuna kweli...
camel grade 42.5 inauzwa 16k...mpaka camel imepotea...
dangote grade 32 inauzwa 16k...
Cha ajabu naona magari yakitoka kiwandani nyati na cement wakati majirani hatuna kitu...
Nijuze kwenu uko kama bei nafuu nije nisombe...maana naona jamaa wapo kwenye kampeni.