Royals my friend people's power is everywhere under the sun. Therefore take it from me. Whenever a sitting president is shown the door, mark my word, it is but people's power.
Mwosha uoshwa!Ritz Ukizoea vya Kuchinja na Vakunyonga pia uvizoe!Next after Sarkozy it Ur Part!Tia Maji.
Unintelligible gibberish!Mwosha uoshwa!Ritz Ukizoea vya Kuchinja na Vakunyonga pia uvizoe!Next after Sarkozy it Ur Part!Tia Maji.
Sio kuhusika tu hata pesa zilizomuingiza madaraka Sarkozy, imekundulika alipewe na Gadafi halafu yeye ndio alikuwa wa kwanza kupeleka ndege za kivita kuangusha utawala wa Gadafi.
Umbumbu wa kisiasa utawaumbua mwaka huu.
Hollande ni Socialist, wakati yeye hana mbia kwa hapa kwetu Tz.
Hebu nieleze mkuu CDM inafuata sera zipi?
Nafikiri mkuu uelewa wako wa Usocialisti vis-avis Ubepari kwa context ya kulinganisha Ufaransa na Tanzania una walakini.Ni vizuri tukatambua u-socialist wa Ulaya ni zaidi ya ubepari kwa viwango vyetu. U-socialist wao una elements nyingi sana za ubepari ambazo hapa bongo bado watu wangepiga kelele.
Nafikiri mkuu uelewa wako wa Usocialisti vis-avis Ubepari kwa context ya kulinganisha Ufaransa na Tanzania una walakini.
Sioni uhusiano wowote kati ya Chadema na matukio ya Ufaransa.Na hapo ndio nasema kuna umbumbumbu mwingi tu wa mtu kupata solace kutokana na matukio ya Ufaransa.
CDM is a far cry from what is happening in France.
![]()
Habari zilizotufikia ni kwamba nchini Ufaransa kimeumana na rais Nicolas Sarkozy amebwagwa na Francois Hollande,. Kwa habari zaidi Bonyeza hapa.
Nimefurahi sana huyo Sarkozy muaji mkubwa damu za raia wa Libya zinafanya kazi kachukuwa pesa ya Gadafi halafu wamemeua..
Nafikiri mkuu uelewa wako wa Usocialisti vis-avis Ubepari kwa context ya kulinganisha Ufaransa na Tanzania una walakini.
Sioni uhusiano wowote kati ya Chadema na matukio ya Ufaransa.Na hapo ndio nasema kuna umbumbumbu mwingi tu wa mtu kupata solace kutokana na matukio ya Ufaransa.
CDM is a far cry from what is happening in France.
Don't expect run off in 2015. The Peoples Power will definitely win by 80% of the total vote!