kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 20,360
- 13,466
Nimefurahi sana huyo Sarkozy muaji mkubwa damu za raia wa Libya zinafanya kazi kachukuwa pesa ya Gadafi halafu wamemeua..
Bado hapa kwetu napo panahitaji mageuzi kama hayo au unasemaje?
Nimefurahi sana huyo Sarkozy muaji mkubwa damu za raia wa Libya zinafanya kazi kachukuwa pesa ya Gadafi halafu wamemeua..
Na yeye Sarkozy si alihusika kushika bango kun'golewa Ghadafi zamu yake imefika.