Sarawili ya kubana

Sarawili ya kubana

Mbona hii stail Machalii wa Arusha wanaipiga sana..labda uniambie hiyo ya kuvalia na shati..
 
Huyu jamaa mbona anajidhalilisha? Sasa anamwonyesha nani hayo maungo yake na kwa nia ipi?
 
hizi sarawili wanavaaga mapunga
427967_436644146387255_104760239_n.jpg

Huyu ni pungazeze dhahiri
 
Back
Top Bottom