Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,385
- 68,490
Si wangetengeneza sarafu ya shilingi 50 ili kuleta uhalisia zaidi???
cc: Benno Ndulu
Si wangetengeneza sarafu ya shilingi 50 ili kuleta uhalisia zaidi???
Umeniwai nilitaka toa jibu kama ilo.Hiyo sarafu haiingizwi kwenye Mzunguko. Inabaki kwenye kumbukumbu zao katika kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi.
calmed down mkuuViroba tena man