Sarafu mpya ya Sh.50,000

20PROFF

JF-Expert Member
Nov 5, 2013
8,147
7,127
Hiiii ndio sarafu mpya
1466614138244.jpg
1466614142258.jpg

Hasa swali inatumika Tz yote au Zenj peke yake??
 
kabla hamjaposti muwe mnauliza kwanza mambo mengine,hii ilitoka muda mrefu kwa ajili ya maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru,
 
Hii ilitolewa maalum kwaajili maadhimisho ya miaka 50 ya mapinduzi, na ilikuwa kwa idadi maalum

GIUSEPPE;
Afwadhali umeurudisha moyo wangu. Nilipasukwa moyo; Pwaa! Nkasema, kule kijijini kwetu, nnani ataipokea? Kidogokidogo hakika mamlaka kamili wataipata.
 
Mpya? nimeshaitumia mbona kitambo!! and then huwa na kikopo chake kama kile cha kuwekea medali yani juu kioo chini kama mkebe umefunikwa na kitambaa laini, Mtoa Mada Umepata Viroba Vingapi?

ila kuna mtu nilishawahi kumuambia ipo aliacha kuongea na mimi ati mimi ni Muongo Sana... nikamuambia mimi huwa sidanganyi ndio akazidi kukasirika
 
Teh teh teh mtumie picha yaishe
 
Viroba tena man
 
Back
Top Bottom