Sawa mkuu, mlango nikifunga siyo kwamba nimewafungia dunia, nimefunga tu upepo usije ukaingia na kelele nyingi.Unajua hata ukitudanganya utajijua mwenyewe. Ukifunga mlango sisi hayatuhusu
SureNdio, sasa hivi wana aina karibu 7 za dawa. Ikikukataa hii, wanakupa nyingine. Kabla ya hapo ilikuwa ikikukataa tuu, basi tunazika, hukatizi mwaka.
Kabla ya huyo kichaa Trump hajarudi, ilikuwa PEPFAR, walete sindano ya kila mwezi, watu waachane na makande.
Ugonjwa wa kimkakati huu, ukiendekeza tuu utelezi shudu linakuhusu. 😊
Sawa mkuu nakubali lakini suala la katiba mpya vipi?Endelea kuichapa kavu , endelea kusema ndomu zinamaliza utamu, na zinawasha, endelea kuichapa kwa nguvu zote ili ukomoe , endelea kujisifu sana kuwa unaisugua mpaka inatoa cheche.
Kaa kiaskari kijana , hakuna mlinzi wa afya yako zaidi yako mwenyewe, wale wazee wanyamanyama na futa jingi , jitambueni , mtameza njugu kama njiwa manga vilaza nyie.View attachment 3649155
tutazaliana sasa kwa style hiyo. Nilichukia hilo linailon kipindi cha nyuma sielewi vizuri likapasukia ndani ikabidi nimpeleke hos 20k yangu ikaenda bure na mgonjwa ni maji mengi alipewa then akaenda kukojoa likatoka. Tangu siku hyo nikikupenda lazma nikupme hutaki narudi kwa wake zanguPima , jilinde na kinga pia , kupima na kuichapa kavu bado hauko salama
Sawa endelea tututazaliana sasa kwa style hiyo. Nilichukia hilo linailon kipindi cha nyuma sielewi vizuri likapasukia ndani ikabidi nimpeleke hos 20k yangu ikaenda bure na mgonjwa ni maji mengi alipewa then akaenda kukojoa likatoka. Tangu siku hyo nikikupenda lazma nikupme hutaki narudi kwa wake zangu
Mbona unamshsuri kinyonge?Sawa endelea tu
Akifikia hapo Virus aliokuwa nao mwilini wanakuwa wameshafubazwa kiasi cha kutokuwa na uwezo wa kupelekea maambukizi kwa mtu mwingine.Endelea kuichapa kavu , endelea kusema ndomu zinamaliza utamu, na zinawasha, endelea kuichapa kwa nguvu zote ili ukomoe , endelea kujisifu sana kuwa unaisugua mpaka inatoa cheche.
Kaa kiaskari kijana , hakuna mlinzi wa afya yako zaidi yako mwenyewe, wale wazee wanyamanyama na futa jingi , jitambueni , mtameza njugu kama njiwa manga vilaza nyie.View attachment 3649155
Shida ni kwamba kipimo kitapima HIV tu,vp kuhusu hepatitis,kaswende ,kisonono , genital warts?Jilinde kwa ndom kaka.Bora nitembee na kale kakipimo kuliko hayo manailon. And for sure kama hutaki kupitia kipimo acha ikae. Heri nitumie hata 10k ya vipimo kuliko 500 ya ndom.
Unajilinda na virusi unapita barabarani unagongwa na nzi unakufa kuh! Dunia haina huruma
Kipindi tuko chuo kuna mwamba alipiga pisi moja ilikuwa ya moto sana, sasa katika stori za hapa na pale ikawa inasemekana ile pisi ni miongoni mwa watoto wa "Mama Salma" jamaa tukawa tukimtania kuwa ameungua akawa anakosa raha mpaka akakonda. Sijui aliukwaa kweli sijui vipi, haya mambo haya yasikie tu kwa watu.Unaichapa halafu unapita kitaa , usikia wana wanadai ile chuma ni cheche🤣 lazima uhare kwanza😅
zetu ni dua tuTamu ya dakika 10 majuto ya maisha yako yote.
Paka dudu Vaseline ya kutosha na hakikisha amelowana kabla ya kuingia!ila kavu ni habari nyingine, lile joto na utelezi wake unaitwanga umeivaa nailoni duh!
noma sana madogo chuo wanajifanya spatacus wanaungua kinoumaKipindi tuko chuo kuna mwamba alipiga pisi moja ilikuwa ya moto sana, sasa katika stori za hapa na pale ikawa inasemekana ile pisi ni miongoni mwa watoto wa "Mama Salma" jamaa tukawa tukimtania kuwa ameungua akawa anakosa raha mpaka akakonda. Sijui aliukwaa kweli sijui vipi, haya mambo haya yasikie tu kwa watu.