Sankara vs Magufuli

Sankara vs Magufuli

Nilisoma kitabu kinaitwa "Thomas Sankara speaks "Jamaa alikufa akiwa na miaka 37 tu. Alianza kuongoza nchi akiwa na miaka 33.Huyu alikuwa kichwa haswa. Kuna speech aliongea kwenye mazishi ya Samora Machel,acha tu. Sankara ni real son of Africa. Yaani kuna sehemu nilikuwa nasoma hadi machozi yananitoka. Kweli wema hawadumu.
Ulikua na stress Wala si kwa sababu ya huyo boya
 
Uko sahihi
Kitu ambacho watanzania hawajui ni kwamba jiwe amefanikiwa kwenye propaganda zaidi ya kitu kingine. Ukiangalia bado tuna matatizo ya umeme (kwa propaganda tunaambiwa 80% ya Tz ina umeme, sio kweli ni less than 40%).

Ndege ni bomu kubwa ambalo litalipuka tu pale jiwe atakapomaliza muda wake, kwa sasa bomu hilo limezuiliwa kulipuka. Kuna miradi mingi sana ambayo mambo yake yanakwenda hovyo kabisa ila hakuna ruhusa kuzungumzia. Rushwa bado ipo sana. Hakuna maendeleo yoyote kwa wakulima hasa awamu hii hakuna lolote, jembe la mkono kama kawaida, n.k

Jiwe amefanikiwa kwenye propaganda kuliko uhalisia. Udikteta unambeba sana lakini siku ya mwisho yote yatajulikana na mtashangaa.
 
Sankara hakutaka watu wamwabudubu kama jamaa yetu....
 
Back
Top Bottom