You are a dreamer, you will die dreaming.Yes ,he can beat that record ,and more than that
Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
Yote aliyoahidi kwenye hotuba yake ya kwanza pale bungeni kayatekeleza, ni yapi hayo ambayo hayaishi?Unaanzaje kumfananisha Sankara na magufuli? Thomas Sankara aliyaishi aliyokua anayasema wakati Mzee wetu hayaishi anayosema, uongo na maguvu mengi .
Kabisa. Unajua Thomas Sankara ni wa pekee. Kwanza wanae wawili waliendelea kusoma shule za public. Mkewe anaietwa Mariam Sankara aliendelea kufanya kazi yake kwenye shirika la taifa la usafirishaji,hata baada ya mmewe kuwa Rais. Thomas Sankara aliacha kutumia gari zenye bei kali,la kuanza kutumia gari za kawaida. In short alikuwa mtu wa watu na alitaka kuipeleka nchi yake to the next level. Kusema ukweli alikuwa ni mtu wa kipekee.Hapo kwene nyekundu hapo.....!
Kumbe ina maana JPM anadumu kwa vile siyo mwema.!!!!
Million 50 kwa kila kijiji zipo wapi ?Anajijengea Hotel Chato ya kifahari huku wananchi wanateseka. Magufuli hawezi mfikia Thomas. Thomas hakuwa mnafki.Yote aliyoahidi kwenye hotuba yake ya kwanza pale bungeni kayatekeleza, ni yapi hayo ambayo hayaishi?
Hawafanani hata kidogo. Huyu wa Chato kwenye diplomasia ni zero. Thomas alikuwa mtu wa watu kweli. Wanae waliendelea kusoma shule za public,Wa Magufuli wanasoma Feza. Mfano mdogo tu huo.Lakini wanafannania kidogo na huyu mchato
Samahani mkuu mtoto wa Magu anaesoma FEZA anaitwa nani!??Hawafanani hata kidogo. Huyu wa Chato kwenye diplomasia ni zero. Thomas alikuwa mtu wa watu kweli. Wanae waliendelea kusoma shule za public,Wa Magufuli wanasoma Feza. Mfano mdogo tu huo.
Jeremia John Pombe Magufuli .Samahani mkuu mtoto wa Magu anaesoma FEZA anaitwa nani!??
Million 50 kwa kila kijiji zipo wapi ?Anajijengea Hotel Chato ya kifahari huku wananchi wanateseka. Magufuli hawezi mfikia Thomas. Thomas hakuwa mnafki.
Yote aliyoahidi kwenye hotuba yake ya kwanza pale bungeni kayatekeleza, ni yapi hayo ambayo hayaishi?
Kitu ambacho watanzania hawajui ni kwamba jiwe amefanikiwa kwenye propaganda zaidi ya kitu kingine. Ukiangalia bado tuna matatizo ya umeme (kwa propaganda tunaambiwa 80% ya Tz ina umeme, sio kweli ni less than 40%).
Ndege ni bomu kubwa ambalo litalipuka tu pale jiwe atakapomaliza muda wake, kwa sasa bomu hilo limezuiliwa kulipuka. Kuna miradi mingi sana ambayo mambo yake yanakwenda hovyo kabisa ila hakuna ruhusa kuzungumzia. Rushwa bado ipo sana. Hakuna maendeleo yoyote kwa wakulima hasa awamu hii hakuna lolote, jembe la mkono kama kawaida, n.k
Jiwe amefanikiwa kwenye propaganda kuliko uhalisia. Udikteta unambeba sana lakini siku ya mwisho yote yatajulikana na mtashangaa.