WAYNE MAKWETTA
Member
- Aug 29, 2013
- 21
- 4
Sanamu ya nelson mandela yazinduliwa leo Afrika kusini na ni sanamu kubwa kuliko sanamu zote duniani imeundwa kwa shaba tu ina urefu wa mita tisa na uzito wa tani nne na ukiitazama picha hiyo utakuta mikono yake iko wazi ikiwa na maana ya kazi ile kubwa iliyofanywa na mpigananyi huyo ya kuwaunganisha watu wa taifa lile..
Pia sanamu hiyo imewekwa/imesimikwa karibu na jengo la bunge na imefanyiwa uzinduzi leo na kushuhudiwa na mamamia ya watu wa Africa kusin
Pia sanamu hiyo imewekwa/imesimikwa karibu na jengo la bunge na imefanyiwa uzinduzi leo na kushuhudiwa na mamamia ya watu wa Africa kusin