Sanaa ya kifo

Hivi kwanini watu wanaogopa kifo wakati mimi binafsi natamani hata iwe leo nisepe tu na kikichelewa kuja nakifata mweyewe hapa nawaza namna ya kujitanguliza soon tu najikataa
 
Hivi kwanini watu wanaogopa kifo wakati mimi binafsi natamani hata iwe leo nisepe tu na kikichelewa kuja nakifata mweyewe hapa nawaza namna ya kujitanguliza soon tu najikataa
Ni kwa vile hatufanani na mitazamo yetu inatofautiana...hata wale wenye huo uthubutu ikifika wakati wa vitendo hubadili nia zao
 
Kwamba hata sisi tusioogopa ukifika mda wa kufa huwa tunabadili msimamo? Au nImekuelewa tofauti!!
Yeah zile dakika za mwisho ni noma sana....zinaitwa HARI ZA KIFO ....sijawahi kushuhudia mtu akiwa jasiri kwenye hili
 
aise nimekupenda umeeleza vizur sana
 
Ifike mahali usilete ujuaji wa kipuuzi Kama hujui tulia kinachokufa ni kile chenye roho...eti kiungo kinakufa hivi unajua nini maana ya kufanana lakini.. Kasome lahaja za lugha upate tofauti ya kufa na mauti

Kwa mara ya kwanza namuona Mshana Jr amekasirika.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…