Sanaa ya kifo

lakini lazima ufe ndiyo uende mbinguni?
Hahaha hata ukifa huendi mbinguni, mpaka siku ya ufufuko. Kwa wenye imani, yesu alisema anaenda mbinguni kuandaa makao, atakaporudi sasa ndio wale watakao kuwa wamekufa watafufuliwa kuface hukumu ,ukiwa bado upo pia siku hiyo utaface hukumu, baada ya hapo sisi watakatifu njia moja kwa mshua, wale wengine wanaokesha kona bar mtafuata uelekeo wa Jecha.
 
i mean naomba nikuulize kitu hapa though ni nje ya mada....imeandikwa hakika mkiula mkate huu na damu yangu hamtakufa bali mtaiishi milele,,,,,,,,,,,na ile ya wayahudi,,,,, baba yenu walikula mana(CHAKULA KUTOKA MBINGUNI) lakini walikufa this means walipaswa wasife baada ya kula kile chakula au sio? so tunakosea mahala fulani ndo maana tunakufa otherwise do death
 
Hii ndio Jf nnayoijua aisee.

Maisha ndani ya tumbo la mama VS maisha yetu hapa duniani na kifo.
 
Sasa full stop si ndio ukomo wa kitu?
hivyo hivyo kifo ni ukomo wa uhai.
 
Naomba nisaidie kujibu hapa... Mwili wa nyama ndio hauna maisha ya milele huu ni wa muda tuu.. Kinachoishi milele ni roho.. A soul once created cannot be destroyed
 
Naomba nisaidie kujibu hapa... Mwili wa nyama ndio hauna maisha ya milele huu ni wa muda tuu.. Kinachoishi milele ni roho.. A soul once created cannot be destroyed
nashukuru sana mzee wa rombo (kibo) so kutokana na hizo verses maana yake kwamba roho pia za hawa zilikufa according to maandishi
 
nashukuru sana mzee wa rombo (kibo) so kutokana na hizo verses maana yake kwamba roho pia za hawa zilikufa according to maandishi
Hapana uzima wa milele unaoongelewa ni ule kati ya paradiso na kuzimu... Hakika hautakufa... Yaani roho haiendi kuzimu/jehanum bali utaishi milele... Dhana ya paradiso
 
Mkuu,kifo mtihani wa kukutoa daraja moja to jingine.haijalishi umekufaje.anachomaanisha mshana kuna maisha mengine katika umbo jingine baada ya maisha yetu hapa duniani kukoma.Mshana kafanya rejea maandiko ya kishetani na imani mbalimbali ambazo sisi binaadam tunaamini ambazo kwazo kifo ni hatua mpya ya kuingia ulimwengu mwingine.SWALA LA UISHIJE ILI UJUE UTAENDA WAPI HII NI HIARI YAKO MKUU.kikubwa jua imani zote mpaka za kishetani zinakir kuwepo maisha baada ya kifo katika umbo jipya.
 
Jamiiforums ni sehemu ya kaliba ya watu wa madaraja mawili
1. Great thinkers
2. Great sinkers
Determination ya hizo class mbili ni aina ya replies kwenye post mbalimbali
 
Swali zuri sana tusubili majibu.
 
Duuuu,natamani kuifikia hiyo PhD.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…