MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,102
Haya nimemsamehe RIP mzee sittawewe ni mkwepakodi hivyo hufai kabisa kwakuwa unahujumu taifa kwa tabia hiyo. usimlaumu mzee hasa katika kipindi ambacho anapigania uhai wake. taifa sio lako pekeyako au na kikundi chako. katiba ile ni mbaya kwako lakini nzuri kwa wengine na huenda ni wengi zaidi. masuala ya katiba ni demokrasia na maridhiano pia. hakuna alichoandika pekeake mule watu wengi walishiriki na wengine wakaona kazi ngumu wakatoka nje kunywa kahawa, wakawekewa kilevi wakalewa muda wote mpaka katiba ikapatikana na tunasubiri kura ya maoni.... sisi tunamuombea sitta kamamtanzania mwenzetu na kiongozi mahiri aliyetoa mchango mkubwa katika maendeleo ya taifa hili